Ni kweli Nelson Mandela alifia gerezani 1985?

Hongera mhenga
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania kwa akili ndogo mnaamini hakuna kitu kama hicho mkuu yaani hata watu wa kwao wadanganyike? Winnie ubavu wake asimjue mandela?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imbaga kabisa papa ya munenr
 
Hata Yesu wa kweli akija hamtamjua ndo kwanzaaa mtamkimbia.
Pulasitoki sajare
 
Neno, Neno, Neno
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu Uzi nimeishia kuusoma hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii swala la laweza kuwa na mahusiano kwanini hakuhudhuria kwe msiba wa mpigania uhuru mwenzake tena wenye mikakati iliyoendana...
hapa kuna vitu vingi tumefichwa technology inatuumiza na kutubana uhuru wa fikra.
Kama aliamua kuiga kila kitu alishindwa kuiga uswahiba wake na Nyerere?

Nimesahau nilisema nimeishia pale kusoma huu uzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nachohisi alipewa masharti kadhaa ili aachiwe sio zaidi ya Hapo

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana kama wazungu waliweza kutengemeza sinema ya iddi amini na watu wanaamini yule ndio iddy amini wa kweli wakati ni mkenya tena jaluo pia kama wazungu wameweza kutengenza sinema ya yesu feki na watu wanaamini yule ndio yesu hawashindwi kumbadilisha mandela og na kutuletea feki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa alikuzwa sana kuliko viongozi wengi wa Afrika ila ukifuatilia hakuna la maana alilowafanyia Wa South Africa zaidi eti ya viongozi wa serikali kuwa weusi huku makaburu wakiendelea kufaidi mema ya nchi.
 
Sijuti,
Aliwezaje kukariri historia isiyomuhusu

Huenda ni kweli nilishtushwa na hatua yake ya kukataa kuja kumzika Mwalimu.
Ila si alisema ameshindwa kuja kutokana na afya yake na alisema kutokana na emotions ambazo angezipata akimwona jamaa yake amelala zingeathiri zaidi afya yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…