Ni kweli Nelson Mandela alifia gerezani 1985?

Kama sehemu za Siri aliezifahamu alikuwa Winnie tu hao wengine mwisho wao nje tu. Kama ndivyo basi ilikuwa sawa kumtaliki Winnie mapema sana
Nadhani kuna tatizo la ubora wa vyakula au side effect za chemicals kwenye bongo za Watanzania. Baba yako wewe unamtambua kwa sehemu zake za siri? Dada zako, shangazi zako, rafiki zako nao hawawezi kukutambua hadi wazijue sehemu zako za siri?
Hii "hoja" yako ni ya kijinga kuliko mfano.
 
😆😆😆😆
 
Tutumie picha ya Nelson Mandela original na huyu aliepandikizwa tufananishe, labda tutakuelewa mtoa mada
 
kweli kuna stori zilizo fichwa lakini hii imekuwa too much , bado fact hizo hazinishawishi kama mandela aliye achiwa alikuwa ni mandela mwenyewe.
 
Pumbaf hilo pele makalioni ulilopata ukubwani nani analijua kama si mkeo. Ubishi wa kijinga sana
 
Nimekuelewa sana.Maisha ya Jela ni ngumu kubaki na uhalisia.
 
Ata mafufol halisi alifia kwenye ndege kipindi kile walipopata ajali.Aya mambo yatawapasua vichwa
 

Ex-Special Forces Recce and POW, Wynand du Toit, reflects on Operation Argon


Source : Tales Less Told Podcast

More : From a book :

Judas goat : Betrayal for the sake of survival, by Lt Colonel (rtd) Wynand du Toit

More info :
the fascinating story of the wheeler-dealer Frenchman Jean-Yves Ollivier :
Plot for Peace : The untold story of apartheid's fall in South Africa and the mysterious French businessman who helped secure Nelson Mandela's release from jail. Source : A Wheeler-Dealer Turned Broker for Racial Justice (Published 2014)
 
Nimeshangaa sana aisee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kathrada, Raymond Mhlaba, Andrew Mlangeni, Dennis Goldberg, Wilton Mkwayi na wengine wengi). Ina maana wote hao hakuwa na uwezo wa kumtambua huyo Mandela fake
kama walitenganishwa kwenye magereza mbalimbali kwa muda wa karibu miaka 30 unategemea nini hapo?After all Mandela alifungwa mwenyewe kwenye gereza,visiwa vya Robins!
 
Cuba ina watu zaidi ya Million 11 kwa maisha hayo-hayo wameyakubali.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Cuba,North Korea life wanayoishi wanaijua wao wenyewe.Maisha ya Tanzania kipindi cha Nyerere yana nafuu kwa 100%.Tanzania mnalalamika kwamba mnapambana na mabeberu kwenye vita vya kiuchumi?Sasa hawa watu wa Cuba,North Korea ndio wanaona nguvu halisi ya hawa mnaowaita mabeberu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…