Ni kweli Nelson Mandela alifia gerezani 1985?

Ni kweli Nelson Mandela alifia gerezani 1985?

Inahitajika mtu alieshikiwa akili kuamini upuuzi kama huu. Nelson Mandela alifungwa jela na wenzake wengi tu (wakiwemo Walter Sisulu; Ahmed Kathrada, Raymond Mhlaba, Andrew Mlangeni, Dennis Goldberg, Wilton Mkwayi na wengine wengi). Ina maana wote hao hakuwa na uwezo wa kumtambua huyo Mandela fake?
Kaka kuna tecknolojia ipo ni ngumu sana kujua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wali'save' vifungo vyao Robben Island, Pollsmoor na Victor Verster.
Hakukuwa na namna ya kum'swap yoyote bila ya comrades wenzake kubaini.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hajui hilo. Oliver Tambo alikuwa partner wa Mandela kwenye law firm yao, nae ashindwe kugundua kama Mandela alietoka jela ni fake? Winnie Mandela alimpokea mumewe na wakaishi kwa muda wa kutosha tu, nae asijue Tu??!!
 
Duuuh... Kumbe alikuwa photocopy.

wasouth wanasemaje kwani?
 
Teknolojia inayohusu kumzuia Winnie tu asigundue kuwa kuna Nelson Mandela fake lakini wote aliosoma nao, aliofungwa nao, aliofanyanao kazi, dada zake, watoto wake etc isiwaguse? Shana hiyo ni zaidi ya wehu.
Kwani mission nyingi huwa zinafanikiwaje?
 
Mara nyingi wanaofikiri kwa kiwango cha chini hujidhania ni bora kuliko wengine.
Na wale wanaodhani wako viwango vya juu kumbe hapana kamwe hawajitambui, hapo hata umri, aina ya chakula walichokula wakiwa wachanga, eneo waliloishi, shule walizosomea, walimu waliowafundisha, maisha wanayoishi sasa, wale wanaowazunguka wanaupeo gani hivi vyote vinahusiana. Kuamini vitu Simple kama kulikuwa na Nelson Mandela fake no UJUHA.
 
Hajui hilo. Oliver Tambo alikuwa partner wa Mandela kwenye law firm yao, nae ashindwe kugundua kama Mandela alietoka jela ni fake? Winnie Mandela alimpokea mumewe na wakaishi kwa muda wa kutosha tu, nae asijue Tu??!!
Watu wa story za kwenye kahawa huwa wanaamini kila lizushwalo, commonsense kimekuwa ni kitu adimu sana kwa kizazi hiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom