Ni kweli Nelson Mandela alifia gerezani 1985?

Habari zenu wadau, katika pitapita zangu nimekutana na mwandishi mmoja anayedai kuwa mtu anayefahamika kwa jina la Nelson Mandela, si huyu tunaye mfahamu sisi, Nelson original alifia jela mwaka 1985. Kwa mujibu wa maelezo yake nikwamba huyu tunaye mfahamu alitafutwa mtu anayeendana naye kidogo na alilazimishwa kutoa talaka kwa Winnie Mandela maana wangekaa pamoja kwa muda mwanamama huyu angejua kuwa hakuwa Mandela Original. Inasemekana mwanamuziki Johnny Clegg alishawahi pia kuimba kitu hiki katika wimbo wake wa "Asimbonanga" yaani hatujamwona yeye. Kwenye wimbo huo kuna maneno Asimbonang' uMandela thina akimaanisha hatujamwona Mandela Laph'ekhona - mahali alipo Laph'ehleli - mahali alipo zikwa. Wimbo huu ulitoka mwaka 1987.

Nani aliyetolewa gerezani 1990?
Inasemekana ni mtu ajulikanaye kwa jina la Gibson Makanda ambaye alipelekwa katika gereza la Pollsmor mwezi May mwaka 1985 na akiwa huko alifanyiwa plastic surgery iliyofanywa na timu ya madaktari wachache toka London Uingereza, mara baada ya zoezi hilo kufanikiwa alipatiwa mazoezi ya kuongea na kutembea kama Nelson Mandela mpaka alipo fuzu ndipo mpango wa kumtoa ukatekelezwa ndomaana hata baada yakutoka alilegeza sana masharti kwa watu weupe.

Nilipitia pia vyanzo mbalimbali mtandaoni nikakutana na zaidi ya waandishi 50 tofauti wakizungumzia juu ya Gibson Makanda kuigiza kama Nelson Mandela.

Je, nikweli Nelson Mandela alifariki mwaka 1985?
ama kweli mambo ni mvurugiko kinoma noma
 
Habari zenu wadau, katika pitapita zangu nimekutana na mwandishi mmoja anayedai kuwa mtu anayefahamika kwa jina la Nelson Mandela, si huyu tunaye mfahamu sisi, Nelson original alifia jela mwaka 1985. Kwa mujibu wa maelezo yake nikwamba huyu tunaye mfahamu alitafutwa mtu anayeendana naye kidogo na alilazimishwa kutoa talaka kwa Winnie Mandela maana wangekaa pamoja kwa muda mwanamama huyu angejua kuwa hakuwa Mandela Original.

Inasemekana mwanamuziki Johnny Clegg alishawahi pia kuimba kitu hiki katika wimbo wake wa "Asimbonanga" yaani hatujamwona yeye. Kwenye wimbo huo kuna maneno Asimbonang' uMandela thina akimaanisha hatujamwona Mandela Laph'ekhona - mahali alipo Laph'ehleli - mahali alipo zikwa. Wimbo huu ulitoka mwaka 1987.

dah kama ni mweli ni noma sana
 
Hili jambo ni fikirishi sana kwasababu misimamo na hoja aliyokuwa nayo Mandela wa kabla ya kufungwa na baada ya kutoka gerezani ni tofauti kabisa.

Pia swala la kumtaliki Winnie kwa hoja dhaifu aliyoitoa Mandela nayo ina ukakasi. Si Mandela yule aliyehamasisha umoja wa kitaifa na maridhiano kati ya makabira ya wanakusini katika kupambana na mkaburu kutoa taraka kwa Winnie bila ya kusikiliza ushauri kutoka kwa wazee na marafiki zake wa karibu.
Na akagoma kumzika Hayati Nyerere, hapa ndipo tafakari zinapozidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji848][emoji848]
Habari zenu wadau, katika pitapita zangu nimekutana na mwandishi mmoja anayedai kuwa mtu anayefahamika kwa jina la Nelson Mandela, si huyu tunaye mfahamu sisi, Nelson original alifia jela mwaka 1985. Kwa mujibu wa maelezo yake nikwamba huyu tunaye mfahamu alitafutwa mtu anayeendana naye kidogo na alilazimishwa kutoa talaka kwa Winnie Mandela maana wangekaa pamoja kwa muda mwanamama huyu angejua kuwa hakuwa Mandela Original.

Inasemekana mwanamuziki Johnny Clegg alishawahi pia kuimba kitu hiki katika wimbo wake wa "Asimbonanga" yaani hatujamwona yeye. Kwenye wimbo huo kuna maneno Asimbonang' uMandela thina akimaanisha hatujamwona Mandela Laph'ekhona - mahali alipo Laph'ehleli - mahali alipo zikwa. Wimbo huu ulitoka mwaka 1987.

Nani aliyetolewa gerezani 1990?

Inasemekana ni mtu ajulikanaye kwa jina la Gibson Makanda ambaye alipelekwa katika gereza la Pollsmor mwezi May mwaka 1985 na akiwa huko alifanyiwa plastic surgery iliyofanywa na timu ya madaktari wachache toka London Uingereza, mara baada ya zoezi hilo kufanikiwa alipatiwa mazoezi ya kuongea na kutembea kama Nelson Mandela mpaka alipo fuzu ndipo mpango wa kumtoa ukatekelezwa ndomaana hata baada yakutoka alilegeza sana masharti kwa watu weupe.

Nilipitia pia vyanzo mbalimbali mtandaoni nikakutana na zaidi ya waandishi 50 tofauti wakizungumzia juu ya Gibson Makanda kuigiza kama Nelson Mandela.

Je, nikweli Nelson Mandela alifariki mwaka 1985?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila shaka, stori hii ni kweli!! Sawa na stori dunia ni tambarare, Marekani ilitengeneza AIDS, Ebola na Corona, na Wayahudi (au Illuminati) wanatawala dunia (iliyo tambarare) kwa siri.
Na kutua mwezini mwaka 1969 hakukutokea, ni feki yooote!!
 
Habari zenu wadau, katika pitapita zangu nimekutana na mwandishi mmoja anayedai kuwa mtu anayefahamika kwa jina la Nelson Mandela, si huyu tunaye mfahamu sisi, Nelson original alifia jela mwaka 1985. Kwa mujibu wa maelezo yake nikwamba huyu tunaye mfahamu alitafutwa mtu anayeendana naye kidogo na alilazimishwa kutoa talaka kwa Winnie Mandela maana wangekaa pamoja kwa muda mwanamama huyu angejua kuwa hakuwa Mandela Original.

Inasemekana mwanamuziki Johnny Clegg alishawahi pia kuimba kitu hiki katika wimbo wake wa "Asimbonanga" yaani hatujamwona yeye. Kwenye wimbo huo kuna maneno Asimbonang' uMandela thina akimaanisha hatujamwona Mandela Laph'ekhona - mahali alipo Laph'ehleli - mahali alipo zikwa. Wimbo huu ulitoka mwaka 1987.

Nani aliyetolewa gerezani 1990?

Inasemekana ni mtu ajulikanaye kwa jina la Gibson Makanda ambaye alipelekwa katika gereza la Pollsmor mwezi May mwaka 1985 na akiwa huko alifanyiwa plastic surgery iliyofanywa na timu ya madaktari wachache toka London Uingereza, mara baada ya zoezi hilo kufanikiwa alipatiwa mazoezi ya kuongea na kutembea kama Nelson Mandela mpaka alipo fuzu ndipo mpango wa kumtoa ukatekelezwa ndomaana hata baada yakutoka alilegeza sana masharti kwa watu weupe.

Nilipitia pia vyanzo mbalimbali mtandaoni nikakutana na zaidi ya waandishi 50 tofauti wakizungumzia juu ya Gibson Makanda kuigiza kama Nelson Mandela.

Je, nikweli Nelson Mandela alifariki mwaka 1985?

Haya ni mawazo mafupi kweli kweli ambayo hukutakiwa kutumia muda kuyaandika hapa hata kama kweli ulisoma kwenye websites za conspiracy theories; ni afadhali ungeuliza historia ya Mandela kabla ya kuachiwa mwaka 1990.

Mandela alikuwa gerezani pamoja na wenzie akina Walter Sisulu, Govan Mbeki, Ahmed Kathrada, Andrew Mlangeni, Raymond Mhlaba, Elias Motsoaledi, Harry Gwala na wengineo ambao wote walifungwa gereza moja muda wote wa kifungo chao, na walikuwa wakikutana huko karibu kila siku kwenye suluba ya kupasua kokoto. Wakati wote wa kifungo walikuwa wanapewa muda wa kutembelewa na familia zao na wengi wao waliachiwa kipindi kimoja tu, kati ya mwaka 1989 na 1990. Unaaminije hayo unayosema bila hata kuchambua ukweli, plastic surgery ifanyike halafu ndugu pamoja na marafiki wote wasijue? Unajua maana ya plastic surgery kweli? Unadhani mtu anaweza kufanyiwa plastic surgery akabadilika na kuwa mtu tofauti kweli? Hujui kuwa kuna alama nyingi sana za mtu haziwezi kubadilishwa kwa mfano fingerprints, DNA, blood group, vocal signatures na vitu vingine kadhaa, unaamini kuwa Kaburu alibadilisha vyote hivyo usiku mmoja tu bila marafiki zake wa kila siku pamoja na ndugu zake kujua na bado mtu huyo akaweza kuishi miaka 100?
 
Plastic surgery ya Polepole ilifanyikia wapi? Huyu si yule Polepole wa tume ya Warioba.
Duuuh mkuu nipo hoi mie 😂😂😂😂😂😂 nikifikiria enzi Pole pole yupo na tume ya katiba mpya kanikuta kijijini na kuniombea nafasi ya kumwaga nondo hata yeye mwenyewe zilimwingia mpaka kaniongezea na mda lakini leo hii nikiambiwa sio yeye naweza kubali
 
Sikuhizi ni mjamaa kuliko Lenin tofauti tu ni kuwa Lenin aliamini anachotamka.
 
Awe ni Mandela au Makanda ila kama ni yule babu mwafrika mweusi, mwenye nywele nyeupe, mpole mpole hivi, mpenda amani, mtu wa haki, mwenye hekima na uchaji wa Mungu,

Basi sisi kama watu wa afrika haina haja ya kutaka Mandela mwingine vichwani mwetu huyuhuyu aliekuwepo ameonesha Uafrika unavyopaswa kuwa, itakuwa jambo la ajabu sana kutaka Mandela mwingine zaidi yake,

Jamani tuache kuwapa credit hawa jamaa kuwa ndio wametutengenezea pride yetu(African pride) hospitalini, Mandela ni moja kati ya viongozi bora kabisa kuwahi kutokea katika historia ya Afrika na dunia kiujumla.
 
Back
Top Bottom