Ni kweli nina mimba au.......

Ni kweli nina mimba au.......

Kwa kuwa period yako ilianza tarehe 16, na kwa hesabu za kawaida ovulation yako kati ya tarehe 30 Octoba na 2 Novemba. Hivyo basi kwa kuwa umefanya ngono/sex bila protection tarehe 31 Oktoba, na kama mambo yote yako sawa yaani wote mko fertile, basi kuna uwezekano mkubwa sana kwamba ume conceive. Hesabu zaonyesha kuwa utarajie kujifungua mwezi July/August mwaka kesho, ubarikiwe.
 
unaogopa mimba kuliko ngoma. ukome kutembea na waume za watu. maana ungekuwa umeolewa wala hii post isingeituma hapa ukiwa na hofu kiasi hicho
 
kwaza za jioni.... naomba nisaidiwe nijue kama nimeshika mimba au laaaa...nimesex 31 juzi wthout kinga nina wasiwasi huenda nikawa na mimba mara ya mwisho kwenda period ilikuwa octor 16 mzunguko wangu ni wa siku 33 na sina permanent date ya p yang ninawasiwasi huenda nilipokea mimba naomba jf doctors end other member wanisaidie niondokane na wasiwasi huu kuhesabu date nashindwa kutokana na kutokuwa na tarehe kamili naomba kujibiwa nw plzzzz nisaidiwe kwa hilo .......

Dumela mma,,,,,,,,,,,,,,, Mbona wasiwasi mapema hivyo, hukuwa unagegemea hiyo kitu?
 
Wakuu mtamuua kwa presha huyu mama mtarajiwa..! Kwanza inaonekana hakua tayari kuleo ndiyo sababu kaja kuuliza huku badala ya kujadiliana na mzazi mwenzie.. So tumshauri vizuri kuhusiana na tatizo/baraka alizopata, tusimkejeli jamani..!
 
Hapo mimba hujapata ila ukimwi ni 100% kapime baada ya miezi 3. mimi nitakuja kukupa uji kitandani.
 
by calculatons, uwezekano upo tena saaana tu, so cheki dalili za mimba, morning vomits?, kichefuchefu, uchovu, mate kujaa mdomoni, baada ya wiki hiv u can do a strip na test nyingine to confirm
 
kwaza za jioni.... naomba nisaidiwe nijue kama nimeshika mimba au laaaa...nimesex 31 juzi wthout kinga nina wasiwasi huenda nikawa na mimba mara ya mwisho kwenda period ilikuwa octor 16 mzunguko wangu ni wa siku 33 na sina permanent date ya p yang ninawasiwasi huenda nilipokea mimba naomba jf doctors end other member wanisaidie niondokane na wasiwasi huu kuhesabu date nashindwa kutokana na kutokuwa na tarehe kamili naomba kujibiwa nw plzzzz nisaidiwe kwa hilo .......

Peku tamu kweli jamani hacha tuuuu! ila kwa uzoefu na mafunzo niliyopata humu ndani kutoka kwa Kinguruwe mwana JF! kwa wewe wa above 28 days let say umesema unaendaga 33 anza kuesabu kuanzia 33 day kurudi nyuma siku 14 itaangukia siku ya mimba i.e October 16, 17, 18, 19, 20, 21, 22, 23, 24, 25, 26, 27, 28, 29, 30, 31, Nov 1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9, 10, 11, 12, 13, 14, 15, 16, 17, ..................hapo period yako inayofuata ni tar 17 Nov therefore ukifanaya KAVU siku ya tarehe 3, 4, mpaka 5 ndo mimba lakini umefanya tarehe 30 Oct obviously no! unaesabu kurudi nyuma kuanzia mwisho circle.
 
Bujibuji unachekesha walo nuna,
Nimekusikia nikacheka
 
je hii ni mara yako ya kwanza kukosa siku zako au iliwahi kukutokea huko nyuma? Cha msingi fanya urine pregnacy test, nenda pharmacy, jieleze kwamba unahitaji hiyo kit, utainunua na watakulekeza jinsi ya kutumia.Nyingi zinadetect pregnancy baada ya siku sita na kuendelea baada ya ovulation. Kama ikiwa negative irudie tena ndani ya wiki tatu. Ni vizuri kupima HIV vilevile ila angalia iwe angalau 2 weeks from exposure na kama kawaida utarudia 3 months baadae.Kila la kheri
 
tukiomba mna ringa mkipata mna tuwinda r.i.p sina cha kukusaidia
 
Vipi ulifanikiwa? Bila shaka dogo anakaribia kufunga shule
 
Back
Top Bottom