Ni kweli nyoka hawezi kumng'ata mtoto, mama mjamzito au anayenyonyesha?

Marcy

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2013
Posts
2,430
Reaction score
5,910
Wanasema nyoka hawezi kuwang'ata hao watu wenye mahitaji maalumu na ikitokea amewang'ata basi kuna namna kuna ukweli wowote hapa

Ipi sababu inayopelekea wasing'atwe na nyoka hasa kwa mtoto maana muda mwingine unaweza kuta anacheza nae na asimng'ate
 
Inawezekana Nyoka anajua kuwa huyu ni mtoto hawezi kumdhuru...
 
We thubutu..
Nyoka wasio na sumu sawa ila hawa kina black mamba usisubutu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…