Nyumba ndogo ni wasanifu! Tupo kibiashara zaidi, tunaitaji maangalizo tofauti coz siyo mkeo, na ndiyo mana ukatupa jina la nyumba ndogo. Kwa hiyo tupo kwa mkataba tu, kinachomfanya awe na wewe ni maslahi, sasa kama maslahi hayapo ndiyo utaona wanakusaanifu coz tunatambaa kuangalia ustaarabu kwengine!, kwani mwajiri wako akifilisika wewe unamsaanifu unapobwaga manyanga? hapana, wewe unaomba kazi sehemu nyingine coz upo pale kwa maslahi bana! Je ungekua na hisa kwenye kampuni ungeondoka kama inafilisika? hapana, ungejitaidi kuinusuru kwa kila hali hadi tone la mwisho kama Gadaffi alivyofanya kwa nchi yake! Hivyo ndivyo kwa nyumba ndogo, yeye hana hisa na wewe, mwenye hisa nawe ni mkeo. NYIE NDIYO MNAJIHISI MNASANIFIWA WENZAKO WALA TUPO KAZINI BUBULAKE. wanaume muwe na akili za mbayumbayu msije mkajigonga kwenye jiwe ukijifanya unakomaza mdomo