Ni kweli Oral sex husabisha saratani ya koo kwa kiasi kikubwa?

Ni kweli Oral sex husabisha saratani ya koo kwa kiasi kikubwa?

Nde-sanjo

Member
Joined
Feb 5, 2014
Posts
5
Reaction score
3
Ni kweli Oral sex husabisha saratani ya koo kwa kiasi kikubwa?

Na mimi nilishafundishwa kwenye somo la Afya nilivyokuwa sekondari kuwa saratani ya Koo husababishwa na uvutaji wa sigara na unywaji wa pombe kali, sasa hapa ukweli ni upi?

Naombeni msaada.
 
Wewe baki na Elimu yako ya sekondari. Kumbuka ulifundishwa hivyo, kadiri ya mazingira, uelewa wako, lengo la somo, uelewa wa waalimu.

Pia kwa taarifa yako, anal sex husababisha kanza ya utumbo mpana. Ikiwa huamini, nenda Google. Eendelea kuwa Myahudi hata utakapoangamia.
 
Back
Top Bottom