jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Nimeitizama:Nimeweka link hapo chini mkuu! Icheki then tusikie maoni yako!
Yafuatayo ni maoni yangu:-
1. Footage imekuwa edited hivyo kuwa na ushawishi wa mashaka.
2. Footage inaonyesha Papawemba anatumia wireless mic.
3. Footage inaonyesha mic inayoletwa ni wired microphone
4. Footage haionyeshi Papawemba akiitumia hiyo wired microphone
Sababu za hiyo wired microphone kuondolewa pale ni watu kuongezeka eneo la kutoa msaada na delicacy ya microphone, ingeweza kuangushwa na kuharibika.
Nitarudia tena kuangalia, kwa sasa huo ndio msimamo wangu.