Ni kweli Papa Wemba kauawa na sumu iliyowekwa kwenye Mic?

Nimeweka link hapo chini mkuu! Icheki then tusikie maoni yako!
Nimeitizama:
Yafuatayo ni maoni yangu:-
1. Footage imekuwa edited hivyo kuwa na ushawishi wa mashaka.
2. Footage inaonyesha Papawemba anatumia wireless mic.
3. Footage inaonyesha mic inayoletwa ni wired microphone
4. Footage haionyeshi Papawemba akiitumia hiyo wired microphone

Sababu za hiyo wired microphone kuondolewa pale ni watu kuongezeka eneo la kutoa msaada na delicacy ya microphone, ingeweza kuangushwa na kuharibika.

Nitarudia tena kuangalia, kwa sasa huo ndio msimamo wangu.
 

Mkuu Wanamuziki wa DR Congo hata tu ukifa kwa KIPINDUPINDU kwa uchafu wako mwenyewe watasema UMEULIWA. Franco tu ambaye kila Mtu anajua kuwa alifariki kwa kuugua SIDA ( UKIMWI ) Wakongo wanakuambia aliwekewa SUMU na Hayati Mobutu aliyekuwa Rais wa Zaire enzi hizo wakisema walitofautiana Kisiasa. Kama hiyo KIFO cha Tabu Ley ambaye hakuna asiyejua kuwa aliuguwa mno saratani lakini alipokufa tu Wakongo wanakuambia KAUWAWA na yote tisa kumi mwaka jana mwanamuziki wa Bendi namba mbili au ya Kikosi cha pili cha Wenge BCBC kiitwacho PPU aitwae Tatty Nkusa ambaye ndiyo alikuwa ameshapandishwa Kikosi cha kwanza alipata AJALI ya kugongwa na gari alipokuwa anaendesha pikipiki yake akitokea katika kumbi za starehe lakini hao hao Wakongo wanakuambia KAUWAWA.

Labda nikusaidie tu kukuambia kuwa hakuna Watu wajanja na wanaoenda na FURSA kama Wanamuziki wa Congo na kwa taarifa yako tu hao hao unaowasikia wanasema PAPA WEMBA kauliwa watatumia Msiba huu KUJINEEMESHA kimaslahi huku wengine wakiandaa sasa MATAMASHA ya Kumbukumbu ya KIFO cha PAPA WEMBA sehemu mbalimbali ili wapige HELA na huko watakapokuwa wanaenda watakuwa wanawaseti Watu wazidishe UVUMI kuwa jamaa kauwawa na propaganda zao zingine nyingi nyingi ili mradi tu wajaze nyomi ukumbini au uwanjani.

PAPA WEMBA wiki moja kabla alikuwa na tatizo la heart attack na physician wake alimwambia apumzike wiki mbili ndipo arudi kuendelea na mziki na ile siku aliyofariki ndiyo kwanza alikuwa kamaliza siku ya tano ( 5 ) tokea atoke kupewa huo ushauri na daktari wake je ulitegemea nini hapo Mkuu? Na ukumbuke kuwa hawa Wanamuziki wakubwa na matajiri wa Kongo hawatibiwi na Madaktari " hohe hahe " bali Madaktari wao huwa ni wale WATAALAM na BINGWA kabisa wanaojua wanafanya nini. Uzembe wake wa kutozingatia masharti ya afya ndiyo yamemfanya apoteze maisha kwa heart failure na pengine hiki KIFO cha PAPA WEMBA kiwe fundisho kwetu kuzingatia yale yote tunayoambiwa na Madaktari.
 
Hiyo sumu inaitwa'' Polonium 210 is a chemical element'' with symbol PO and atomic number 84,

A rare and highly radioactive element with no stable isotopes.
Polonium is chemically simiral to bismuth and tellerium and it occurs in uranium ores.
Application of polonium are sparse and include heaters in space probes.
Antistatic devices or as source of neutrons and alpha particles.
NOTE;
Polonium is highly dangerous toxic substance.
Refer the death of Alexander Litvinenko.
Polonium 210 is a problem to human being only when it gets into the body,
The radioactive substance can enter into the body by eating or drinking contaminated things ,by breathing contaminated air or inhaling or ingesting body
fluids from someone contaminated with it.
kwa kesi ya Papa Wemba itabidi kusubiri uchunguzi wa kitaalamu na Madaktari bingwa ndio watasema ukweli na hii inategemea familia yake .
Mnunulisho wa hii sumu ya polonium 210 inaonekana kama hatua ya mwisho wa mgonjwa wa kansa,
inaathiri Maini,Figo,na mfumo wa hewa na maumivu makali ya kichwa.
Ata baada ya kifo cha Yasser Arafat kulikuwepo na uvumi wa aina hiyo lakini mamlaka za Palestina mpaka leo zinakanusha kwamba ni kifo cha kawaida tu.
 
kwenye mada hizi unafiti sana,...
 
 
Sina tatizo na maelezo yako, but Nilidhani utazungumza ulichokiona kwenye video mkuu!
 
Well said mkuu!
 
Mkuu Franco Luambo au mwingine? Sikiliza "kimpa kisangameni"
 
Sina tatizo na maelezo yako, but Nilidhani utazungumza ulichokiona kwenye video mkuu!

Siwezi kuzungumzia tukio tu unalolilazimisha Wewe katika hiyo video bali nazungumzia uzoefu wangu generally kwa hawa Wanamuziki wa DR Congo ambao nina uhakika nao tena hata usio na mashaka ila kwakuwa unataka uridhike na uwe na amani basi ngoja nami niungane na Wewe kuwa PAPA WEMBA amewekewa SUMU au KAUWAWA!
 

Akhsante kwa kutupa lecture ya Chemistry Mkuu nadhani hapa pamekosekana tu Darasa ili vitu vingine utuonyeshe kwa vitendo. Hivi kumbe Marehemu PAPA WEMBA alikuwa TISHIO kiasi hiki huko DR Congo hadi afanyiwe huu mseto wa KIKEMIKALI! Si mchezo.
 
Mkuu Franco Luambo au mwingine? Sikiliza "kimpa kisangameni"

Acha " bundesliga " Mkuu. Franco hakuwa mshirikina au mlozi na kuimba nyimbo zinazoongelea USHIRIKINA haimaanishi kuwa yeye ni MSHIRIKINA. Mtafute Mkongwe yoyote wa DR Congo akupe habari kamili. Mbona wapenda USHIRIKINA au ULOZI DR Congo wanajulikana na hata baadhi yao nimewataja hapo juu?
 
Mkuu hatupo ktk "bundesliga" wala la "liga"... ni kuelekezana. Au unataka nikubaliane na ulichokiandika 100%?
 

Maelezo mazuri ingawa unaweza kuwa unapotosha...Ukiiangalia vizuri ile video yule mtoa mike alionekana kabisa ananyatia, the guy seemed not an official assistant of PAPAA WEMBA, he was the asshole bitch with coward action!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…