BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Hicho kijiwe hama isee
Khaaa
Full chai
Khaaa
Full chai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mweeee nlijua zinawekwa chini kumbe zinamezwa.Hicho kijiwe hama isee
Khaaa
Full chai
Katika hali ya kushangaza, Leo katika story na washikaji kuhusiana na maswala ya mahusiano, mapenzi na ngono kuna mshikaji ametuambia kuwa kuna njia mbadala ya kuzuia mimba na ameshauri kuwa pindi mkimaliza kufanya tendo la ndoa we na mwenza wako pasipo kutumia kinga, basi mwenzi wa kike anatakiwa ameze panadol 2 au vidonge vingine vinavyo fanana na panadol.
Kwa mujibu wa mtoa mada hiyo amesema kuwa kwa kufanya hivyo vidonge hivyo huingia mwilini na kuharibu nguvu za mayai ya kiume na hivyo kudhohofisha uwezo wa utungaji mimba.
Sasa mimi si daktari na sina sana utaalam na hayo mambo, nimeshindwa kubisha na nimeshindwa kukubali moja kwa moja ndo maana nimeleta hii thread hapa ili nipate uthibitisho na elimu juu ya hili.