Ni kweli Paracetamol zinazuia Mimba?

MziziMkavu yeye alisemaga popp yule unamuweka chini ya mto ha ha
Hicho kijiwe hama isee

Khaaa

Full chai
Mweeee nlijua zinawekwa chini kumbe zinamezwa.
Mwingine aliniambia eti maji ya kunywa sikumbuki ya baridi au ya moto.
 
Last edited by a moderator:
Ukipanda ubuyu utavuna ubuyu

Kwanini kuhangaika si kuna safe sex jamani :A S wink:
 
Ina Mana Wanaume Tupo Hatarin Na Hiz Dawa Pindi Tuzitumiapo Kwa Mujibu Wa Hicho Kijiwe
 

Paracetamol Zitazuiaje Mimba Kwani Zenyewe Ndizo Zimeiingiza Hiyo Mimba? Mimba Inazuilika Kwa Kushusha Injini Tu!
 
Paracetamol Zitazuiaje Mimba Kwani Zenyewe Ndizo Zimeiingiza Hiyo Mimba? Mimba Inazuilika Kwa Kushusha Injini Tu!

Haaaa, umenifurahisha aisee...hapo solution ni kushusha window au sio!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…