Ni kweli pilau lina sumu zaidi ya 10?

Mada nzuri saana.....huyu bwana hamanishi pilau tunayokula anayo maana nyingine kubwa saana.hebu msomeni "in between the lines" Big up muanzishaji wa huu uzi

mmmmmh!, emu malizia hii methali:- Akili nyingii, ...........................
 
teh! teh! teh! umekosea bhana.
Akili nyingi, hupoteza maarifa.

Unakubaliana na methali hiyo na ni kwa nini umeitumia kwenye uzi huu hasa pale baada ya mimi kusema in between the lines.Hebu tuelimishe nasi pse.
 
Unakubaliana na methali hiyo na ni kwa nini umeitumia kwenye uzi huu hasa pale baada ya mimi kusema in between the lines.Hebu tuelimishe nasi pse.

Mkuu methali hiyo nimeitumia baada ya kuona we umeelewa hadi umepitiliza. mi nlimaanisha pilau kama chakula ndo maana nkataja had viungo kama vitunguu, hiriki, mdalasin n.k . we nkaona unataka kuwatoa watu nje ya mada.
 
Lingekuwa lina sumu ningekuwa nishadhurika au hata kufa siku nyingi
 
Nyani Ngabu sio lazima ufe Au udhurike mapema, ila kuna
uwezekano kuwa kwa kupendelea kula
baadhi ya vyakula utaweza kupata shida mbeleni hasa
ukifikia umri fulani mkubwa sababu ya sumu
zilizokua zikijirundika taratibu mwilini kutokana
na lifestyle ya siku za nyuma.
 
Last edited by a moderator:
Lingekuwa lina sumu ningekuwa nishadhurika au hata kufa siku nyingi

Hata mimi......hiyo ndiyo maana yangu.Lakini naona kama kuna kitu nyuma ya pazia...sijui wengine wanakiona...???
cc Tomjelly....maoni yako pse
 
Tulikuwa tunatumia kitabu cha kiswahili kiitwacho ADILI NA NDUGUZE. .. sijui kama Tomjelly unakumbuka hicho kitabu au uliwahi kukitumia...???
 
Hata mimi......hiyo ndiyo maana yangu.Lakini naona kama kuna kitu nyuma ya pazia...sijui wengine wanakiona...???
cc Tomjelly....maoni yako pse

umh! em kieleze hicho kitu ulichogundua, labda unaweza ukawa sahih. B'cause here in JF we dare to talk openly.
 
Tulikuwa tunatumia kitabu cha kiswahili kiitwacho ADILI NA NDUGUZE. .. sijui kama Tomjelly unakumbuka hicho kitabu au uliwahi kukitumia...???

daaah! zamani sanaa. had nahisi sikumbuki vizuri. em nikumbushe, unataka kusema ..?
 

Kwa bandiko lako hilo hapo juu naona kama vile na wewe umeanza kuelewa ninavyo elewa mimi hasa pale ulioosema siyo lazima ufe au udhurike mapema.
 
Last edited by a moderator:
nimesikia mahala kwamba ulaji wa nyama red meat ndio unao sababisha kansa ya kizazi kwa ke, na tezi dume kwa me.

Ushahidi wao pia ni argentina ambako ni taifa ambalo nyama ndio staple food....wanakula nyama vibaya sana....na kesi za hizo kansa rate yake nikubwa..

Mie nahisi kwenye pilau ukisema kuna sumu labda ni jinsi ya upikaji.....maana viungo vikiungua sana ile mkaa mkaa ni sumu mwilini...
Lakini watu wakumbuke kuwa miili yetu ina system za ku deal na hizi sumu ndogo ndogo na huwa zikizidi wengine miili ina react hapo hapo.

Swala la viungo vya pilau ....yani vinatumika dunia nzima...ni viungo ambavyo dawa pia , tiba mbadala....

Itabidi umuulize huyo mtaalamu tafuta namba yake ili uwe na uhakika uwe na amani.

Kiungo cha pilau ambacho utasema ni madhara ukila kwa wingi in the long run....labda mafuta yale na nyamba au mchele ambao sio whole rice vingine vyote ni dawa mkuu....nadhani vikisha changanywa vina balance....hakuna athari maana umekula vyote ugonjwa na dawa hahahaha
 
daaah! zamani sanaa. had nahisi sikumbuki vizuri. em nikumbushe, unataka kusema ..?

Kama ulifanya form four 1970 au nyuma ya hapo utakuwa umekisoma au kama ulifanya mtihani wa pamoja wa std VII na VIII.
 
@mxyo hahahahah haya bhana, ahsante kwa ufafanuzi
 

Kumbe unazungumzia uwezekano huko mbeleni!

Kwa maana hiyo si jambo la uhakika kuwa kweli pilau ni sumu bali ni suala la ubashiri tu.

Halafu, shida ni sehemu ya maisha hususan uzeeni.

Sijawahi kukutana na mtu mwenye umri mkubwa asiye na matatizo ya kiafya.

Hivyo, uepuke kula pilau usiepuke...matatizo ya kiafya yatokanayo na umri kuwa juu yatakuwepo tu.

Bado siamini pilau ni sumu.
 
Last edited by a moderator:
Je hizo spices \ viungo vinadhuruje? Naombeni majibu kwa anaefahamu chochote kuhusu hili, ni wakati gani na kivipi na ktk mechanism ipi hasa chakula hiki (PILAU) ni harmful Kiafya? Bado sijapata jibu la kitaalamu.

Mkuu mimi niliwahi sikia ila pia nikasikia inategemea na namna pilau linavyopikwa.

Nasikia upishi unaotumika sana mitaani wa kuunguza viungo sana ndio sababu ya pilau kuonekana sio chakula chenye kujenga afya.

Pia nasikia kuna michanganyiko ya viungo inayoweza kuzalisha sumu baada ya kula. Mfano inashauriwa usitumie kitu kichachu halafu hapo hapo ukala kitamu ili kutozalisha sumu mwilini. Hapo unajiuliza mbona vyote ni vilaji vya asili, kwanini viwe na madhara?

Kuhitimisha tu, niseme kwamba, uunguzaji wa viungo vya kupikia pilau ndio chanzo cha kudhuru tumbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…