Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mada nzuri saana.....huyu bwana hamanishi pilau tunayokula anayo maana nyingine kubwa saana.hebu msomeni "in between the lines" Big up muanzishaji wa huu uzi
mmmmmh!, emu malizia hii methali:- Akili nyingii, ...........................
teh! teh! teh! umekosea bhana.
Akili nyingi, hupoteza maarifa.
Unakubaliana na methali hiyo na ni kwa nini umeitumia kwenye uzi huu hasa pale baada ya mimi kusema in between the lines.Hebu tuelimishe nasi pse.
Lingekuwa lina sumu ningekuwa nishadhurika au hata kufa siku nyingi
Hata mimi......hiyo ndiyo maana yangu.Lakini naona kama kuna kitu nyuma ya pazia...sijui wengine wanakiona...???
cc Tomjelly....maoni yako pse
Nyani Ngabu sio lazima ufe Au udhurike mapema, ila kuna
uwezekano kuwa kwa kupendelea kula
baadhi ya vyakula utaweza kupata shida mbeleni hasa
ukifikia umri fulani mkubwa sababu ya sumu
zilizokua zikijirundika taratibu mwilini kutokana
na lifestyle ya siku za nyuma.
daaah! zamani sanaa. had nahisi sikumbuki vizuri. em nikumbushe, unataka kusema ..?
Nyani Ngabu sio lazima ufe Au udhurike mapema, ila kuna
uwezekano kuwa kwa kupendelea kula
baadhi ya vyakula utaweza kupata shida mbeleni hasa
ukifikia umri fulani mkubwa sababu ya sumu
zilizokua zikijirundika taratibu mwilini kutokana
na lifestyle ya siku za nyuma.
Je hizo spices \ viungo vinadhuruje? Naombeni majibu kwa anaefahamu chochote kuhusu hili, ni wakati gani na kivipi na ktk mechanism ipi hasa chakula hiki (PILAU) ni harmful Kiafya? Bado sijapata jibu la kitaalamu.