Ni kweli pilau lina sumu zaidi ya 10?

Ni kweli pilau lina sumu zaidi ya 10?

hakuna sumu yoyote ni uchafu tupilau maandalizi yake makubwa yanafanyika kwa mikono na yanachuka muda,sasa ni hapo usafi unahusika.
 
hata mnapoambiwa majani ya chai yana matatizo huwa mnakataa soda mnakataa vipodozi mnakataa,chumvi na sukari McNamara'. aina nyiiingi za viungo zikizidi zinaweza tengeneza sumu na si lazima iue hapo hapo.baada ya kula pilau mwili huomba maji fasta.tafsiri yake nini.tafsiri yake ni kuwa kuna kitu si chakawaida kimeingia hvo ubongo unaamrisha haraka mwili uoate kitu cha kuzimua.mnaweza msielewe maana ni kitu mmekizoea sana.lkn matumizi ya kuzidi ya pilau ni kuusumisha mwili.mtu anaweza sema mbona viungo vitumikavyo ni vya asili.sasa nani kakuambia vitu vya asili na tunavyovitumia havina sumu.mf.chukua matango meeengi kula na asali uone kitachofuata.ama mpte mtoto mdogo chumvi vijiko viwili uone patatokea nini.vipo viungo asilia utaskia ni hatari kwa mama mjamzito.tujaribu kutokuwa wabishi sababu tu ya mazoea,tuwe tunatafuta elimu kwa kila tulacho na tutumiacho.
achilia mbali pilau hivi mnajua kula sana kunadumaza akili na kufupicha maisha ya mtu.
najua mtakataa pia sababu mna tabia ya uroho na kula mno.
 
popbwinyo umezungumza ukweli mtupu. ila tatizo huo ni UKWELI MCHUNGU kuhusu pilau nliokusudia watu waupate nlipoleta uzi huu, sidhani kama wataupokea huu ukweli mchungu. wapi Nyani Ngabu dr wetu Mzizi Mkavu mjadala unaendelea huku. bantu.garage hii ndio maana yangu halisi.
 
Last edited by a moderator:

I am not buying into your bullshit.

Ain't nothing wrong with pilau.

If you are allergic to it then that's your problem!

Not everybody's problem.

I will continue to eat it for as long as I'm still alive and I will not be deterred by your ignorance.
 
sad, You are trying to be agaist the truth. is that not ignorance too??
 
mh! just now I have realized that you want to win this argument. ok, you have WON!!!!! Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:
Nyani Ngabu....I am not impressed by your comments.Haidhuru tomjelly ...kama ulikuwa una maana hiyo,sina budi kukubali.Lakini hiyo au hilo pilau linaingia saana na matukio ya kisiasa yaliyotokea tangu baada ya uchaguzi mpaka kutangazwa kwa baraza la mawaziri...yaani watu walivyokubali jinsi three the hardways walivyofanya kazi na kuvunjika moyo baada ya baraza la mawaziri kutangazwa.Mimi nilichukulia hivyo na niwe mkweli kwako bado nachukulia hivyo.
Cc....members wengine naogopa matusi pse.
 
Haaaa! basi we inaonekana unapenda mafumbo na kuchambua mambo kiundan sana. teh teh teh idea nzuri pia. ila nngekua na maana hiyo nngepeleka jukwaa la siasa.
 
Last edited by a moderator:
I am not buying into your bullshit.

Ain't nothing wrong with pilau.

If you are allergic to it then that's your problem!

Not everybody's problem.

I will continue to eat it for as long as I'm still alive and I will not be deterred by your ignorance.
heee!!kiinglish tena!!!
kwe uzi wa kiswahili??.aisee umeonesha n jinsi gani dawa imepenya hadi povu kaka.
dah!!!.
 
Back
Top Bottom