Ni kweli Prof. Kabudi kufafanua Ripoti ya Jaji Chande kesho tarehe 28/04/2026?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Nimeona hii taarifa katika akaunti ya mtandao wa X wa Maria Sarungi akiwa ameweka tangazo linalotoa hiyo taarifa.

Nimeleta hii habari kwa style ya kuuliza kwasababu kwakeli nimeshindwa kuamini hii taarifa.

Yaani taarifa itolewa na Jaji Chande halafu ufafanuzi wake utoleww na Prof Kabudi ambae hata hakuwa mjumbe wa hiyo tume?

Wadau, hii ni sahihi?

Si bora ufafanuzi ungetolewa na mjumbe mwingine yoyote wa Tume ya Jaji Chande walau inge-make sense?
 
Jaji Chande na Jaji Mwambegele ndio wale wale tu unatoa mfuko wa kushoto unaingiza wa kulia zile ongeza ongeza za tarehe na kutaka waongezewe ulaji nothing else kila kitu ni biashara
 
Nimeona hii taarifa katika akaunti ya mtandao wa X wa Maria Sarungi akiwa ameweka tangazo linalotoa hiyo taarifa.

Nimeleta hii habari kwa style ya kuuliza kwasababu kwakeli nimeshindwa kuamini hii taarifa.

Yaani taarifa itolewa na Jaji Chande halafu ufafanuzi wake utoleww na Prof Kabudi ambae hata hakuwa mjumbe wa hiyo tume?

Wadau, hii ni sahihi?

Si bora ufafanuzi ungetolewa na mjumbe mwingine yoyote wa Tume ya Jaji Chande walau inge-make sense?
Hiyo ripoti ya Chande ilichakachuliwa ili kuendana na utashi wa aliyeunda tume. Kabudi ndio alitumika sana kuihariri kuendana na utashi wa Samia. Wanaogopa hao akina Chande wanaweza kubanwa wakajikuta wanajibu kama ripoti yao ilivyokuwa mwanzo na sio ilipochakachuliwa. Wanampa Kabudi maana yeye akiulizwa maswali huwa anatoa historia badala ya kujibu maswali.
 
Nimeona hii taarifa katika akaunti ya mtandao wa X wa Maria Sarungi akiwa ameweka tangazo linalotoa hiyo taarifa.

Nimeleta hii habari kwa style ya kuuliza kwasababu kwakeli nimeshindwa kuamini hii taarifa.

Yaani taarifa itolewa na Jaji Chande halafu ufafanuzi wake utoleww na Prof Kabudi ambae hata hakuwa mjumbe wa hiyo tume?

Wadau, hii ni sahihi?

Si bora ufafanuzi ungetolewa na mjumbe mwingine yoyote wa Tume ya Jaji Chande walau inge-make sense?
Rais hatotoa ufafanuzi, hakuna mtu mwenye kuweza kumpa presha rais wa JMT. Labda tuwe hatuijui mipaka ya kazi ya nafasi ya Rais.
 
Ilyosomwa na Jaji Mstaafu Othman Chande sio ripoti bali ni hotuba yake binafsi..

Ripoti kapewa mwenye hiyo tume (Samuya) na kasema ni yake, hakuna mtu mwingine anaruhusiwa kuidai au kutaka kujua kulikoni ndani...

Cha ajabu huyuhuyu Jaji Mstaafu na wenzake kaja tena eti kuitolea ufafanuzi hotuba hiyo hiyo tena na tena

Yaani anakuja kutolea ufafanuzi ripoti ambayo anaowatolea ufafanuzi hawaijui na wala hawajaisoma hiyo ripoti...!!

Maajabu ya mwaka na Karne ya 22 haya🤔🤔🤔🤔‼️‼️‼️‼️
 
Huyu wa jalalani abaki huko huko dampo asilete inzi road.
 
Back
Top Bottom