Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Hiyo ripoti ya Chande ilichakachuliwa ili kuendana na utashi wa aliyeunda tume. Kabudi ndio alitumika sana kuihariri kuendana na utashi wa Samia. Wanaogopa hao akina Chande wanaweza kubanwa wakajikuta wanajibu kama ripoti yao ilivyokuwa mwanzo na sio ilipochakachuliwa. Wanampa Kabudi maana yeye akiulizwa maswali huwa anatoa historia badala ya kujibu maswali.Nimeona hii taarifa katika akaunti ya mtandao wa X wa Maria Sarungi akiwa ameweka tangazo linalotoa hiyo taarifa.
Nimeleta hii habari kwa style ya kuuliza kwasababu kwakeli nimeshindwa kuamini hii taarifa.
Yaani taarifa itolewa na Jaji Chande halafu ufafanuzi wake utoleww na Prof Kabudi ambae hata hakuwa mjumbe wa hiyo tume?
Wadau, hii ni sahihi?
Si bora ufafanuzi ungetolewa na mjumbe mwingine yoyote wa Tume ya Jaji Chande walau inge-make sense?
Rais hatotoa ufafanuzi, hakuna mtu mwenye kuweza kumpa presha rais wa JMT. Labda tuwe hatuijui mipaka ya kazi ya nafasi ya Rais.Nimeona hii taarifa katika akaunti ya mtandao wa X wa Maria Sarungi akiwa ameweka tangazo linalotoa hiyo taarifa.
Nimeleta hii habari kwa style ya kuuliza kwasababu kwakeli nimeshindwa kuamini hii taarifa.
Yaani taarifa itolewa na Jaji Chande halafu ufafanuzi wake utoleww na Prof Kabudi ambae hata hakuwa mjumbe wa hiyo tume?
Wadau, hii ni sahihi?
Si bora ufafanuzi ungetolewa na mjumbe mwingine yoyote wa Tume ya Jaji Chande walau inge-make sense?
Upo obsessed sana na maisha ya rais, umeulizwa hiyo taarifa ni ya kweli? wewe unaleta story za presha ya rais.Rais hatotoa ufafanuzi, hakuna mtu mwenye kuweza kumpa presha rais wa JMT. Labda tuwe hatuijui mipaka ya kazi ya nafasi ya Rais.
Hiyo kesho ndio leo, Kabudi anafanya mambo mengine hayupo kabisa kwenye hilo suala la ufafanuzi.Upo obsessed sana na maisha ya rais, umeulizwa hiyo taarifa ni ya kweli? wewe unaleta story za presha ya rais.
You could have said that. Simple.Hiyo kesho ndio leo, Kabudi anafanya mambo mengine hayupo kabisa kwenye hilo suala la ufafanuzi.