mwelemimmongo
Member
- Feb 16, 2021
- 96
- 76
Jamani wananchi wanatuumiza sana pesa yenyewe ngumu kitaa,mikopo ya elimu ya juu nimpaka kujuanaCcm ishafeli
Dawa yake ni kumwaga mbogaJamani wananchi wanatuumiza sana pesa yenyewe ngumu kitaa,mikopo ya elimu ya juu nimpaka kujuana
Una maanisha ninii?Dawa yake ni kumwaga mboga
Tutafute mboga nyingineUna maanisha ninii?
Nchi imeshakuwa ngumu sana hii kuishi. Hangaya mwenyewe muda wote anawazia uchafuzi wa 2025 na pia kuvizia visafari vya Scotland.