mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 796
kwa kuwa aliahidi kuboresha elimu, na kama ni kweli alifuta zile posho za kufundishia wakati ule, basi walimu wanastahili kugoma wakati wake, na kwa kuwa baadhi ya mawaziri wanajibu hoja hovyohovyo kuwa watumishi wote wanastahili allowance si sahihi na walimu wanakila haja kugoma, kila mtumishi anastahili kudai lwake, madaktari wamedai lao, ni zamu ya walimu.
source: mimi mwenyewe
source: mimi mwenyewe