Ni kweli Rais kikwete Nde aliyefuta zile teaching allowance za enzi zileeee?

Ni kweli Rais kikwete Nde aliyefuta zile teaching allowance za enzi zileeee?

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,162
Reaction score
796
kwa kuwa aliahidi kuboresha elimu, na kama ni kweli alifuta zile posho za kufundishia wakati ule, basi walimu wanastahili kugoma wakati wake, na kwa kuwa baadhi ya mawaziri wanajibu hoja hovyohovyo kuwa watumishi wote wanastahili allowance si sahihi na walimu wanakila haja kugoma, kila mtumishi anastahili kudai lwake, madaktari wamedai lao, ni zamu ya walimu.

source: mimi mwenyewe
 
Back
Top Bottom