Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Personal information
Full name: Marcus Rashford
[1]Date of birth 31 October 1997
-age 21
Place of birth Zanzibar,
Height 1.80 m (5 ft 11 inch)
[3] Playing position Forward Club
information Current team Manchester United Number 19
Youth career 2005–2016 Manchester United
Senior career* Years Team App 2016– Manchester United!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahhaahahahhahahahahhahahah nimecheka sanaa
Hapana Pogba nasikia ni muha
uliruka step kwa kuzaliwa Tanzania.Huu unaweza kua ni Utani.
Ila Kwa kifuatilia Wadhifa wake , nimejikuta naumia Roho saana Usiku wa leo . Kijana Kazaliwa mwaka 1997.Na sasa Dunia inamdiacuss, imenifanya Nitafakari saana Ni wapi niliruka Step .
Hahahaha hata mie naumia aiseeHuu unaweza kua ni Utani.
Ila Kwa kifuatilia Wadhifa wake , nimejikuta naumia Roho saana Usiku wa leo . Kijana Kazaliwa mwaka 1997.Na sasa Dunia inamdiacuss, imenifanya Nitafakari saana Ni wapi niliruka Step .
KUU USIWAZE HIVO UTAKUFURU BURE...HAKIKISHA TU UNA AMANI YA MOY KWA WAKATIHUU MGUMU...WENGI TUKIWAZA TUNAONA KABISA FURSA ZINGEKUWEPO TUNGEKUWA TTUNAPIGA SOCCER AU TUKO NJE TUNAFANYA KITU NA MAPESA...KAUSHA TUU...SEMA TUNABANANA HA UCHUMI WA TENA WAKUAJIRIWA HUKU KUJIAJIRI KUKIWA CHANGAMOTOHuu unaweza kua ni Utani.
Ila Kwa kifuatilia Wadhifa wake , nimejikuta naumia Roho saana Usiku wa leo . Kijana Kazaliwa mwaka 1997.Na sasa Dunia inamdiacuss, imenifanya Nitafakari saana Ni wapi niliruka Step .
KweliiiMbona hiyo picha kana Photoshop kama kachomekwa vile. Embu angalia huo mpira jinsi alivyoushika
Na wewe nenda kwake sasaNi mzanzibar kweli,nakumbuka enzi hizo tulipokuwa tunakutana na braza wake tunapiga stori anaponitembelea home Dar basi alikuwa anakuja nae kwangu.
Kama huyo ni gaidi jecha atakua naniJamaa kabadilisha na jina kabisa asijeitwa gaidi