Ni kweli Rashford wa Manchester United katokea Zanzibar?

Ni kweli Rashford wa Manchester United katokea Zanzibar?

Full name: Marcus Rashford

[1]Date of birth 31 October 1997

-age 21

Place of birth Zanzibar,

Height 1.80 m (5 ft 11 inch)

[3] Playing position Forward Club

information Current team Manchester United Number 19

Youth career 2005–2016 Manchester United

Senior career* Years Team App 2016– Manchester United!
Azaliwe 97 alaf awe na miaka 21??[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
t
hii picha imepigwa kama miaka 3 au 4 iliyopita kwa sababu uyo jamaa aliyevaa jezi rangi kijani anaitwa abrahman said tumesoma darasa moja kuanzia la kwanza 1 mpaka la 7 na tunakaa mtaa mmoja na. iyo picha ilipigwa kwa ajili ya timu ya arizona, uyo dogo si rashford na hawalingani kabisa jaribuni kuangalia pua zao na midomo
hi-res-5036ccaccdbf7e064983b1a5529fd208_crop_north.jpg
tupia picha yake nyingine kuthibitisha
 
Nadhani ni utani tu kwa sababu ya hiyo sura ya Marcus Rashford...ana uso na mdomo mrefu kama Wazenji; ni kama tu Thiery Henry alivokuwa akiitwa 'Mbulu' sababu ya mbio zake akiwa na mpira mguuni!
 
Upand naamin upande nakataa hlo jina tok nmelisikia cku ya kwanza niliwaza sana Rashid(chid) na hlo makame lilinipa wasiwasi sanaa jecha fany yako dogo arud bongo au tutume ile team nanii ikatoe povu kwenye page ya man u hdi waturudishie rashid wetu
 
Back
Top Bottom