boris maganga JF-Expert Member Joined Jun 11, 2017 Posts 382 Reaction score 378 Sep 4, 2017 #1 Habari wana jf,kuna maeneo ya mkoani nimepita mfano tabora nimeona nyumba nyingi zikiwa zimepigwa x ,nilimsikia raisi akisema ni mita 30 tu,lakini Hawa jamaa wanapima mita 70.,hii ipo kisheria?au wanatafuta sifa.
Habari wana jf,kuna maeneo ya mkoani nimepita mfano tabora nimeona nyumba nyingi zikiwa zimepigwa x ,nilimsikia raisi akisema ni mita 30 tu,lakini Hawa jamaa wanapima mita 70.,hii ipo kisheria?au wanatafuta sifa.