boris maganga
JF-Expert Member
- Jun 11, 2017
- 382
- 378
Habari wana jf,kuna maeneo ya mkoani nimepita mfano tabora nimeona nyumba nyingi zikiwa zimepigwa x ,nilimsikia raisi akisema ni mita 30 tu,lakini Hawa jamaa wanapima mita 70.,hii ipo kisheria?au wanatafuta sifa.