kunze JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 398 Reaction score 469 Aug 23, 2018 #1 Tafadhali sana,wanaofahamu kuhusiana na suala hili, hebu watujuze. Sisi wakazi wa mikoa sambamba na bahari kila siku supu ya kibua na chapati, kumbe watoto tutawasikia tu wakilia kwa jirani. Sent using Jamii Forums mobile app
Tafadhali sana,wanaofahamu kuhusiana na suala hili, hebu watujuze. Sisi wakazi wa mikoa sambamba na bahari kila siku supu ya kibua na chapati, kumbe watoto tutawasikia tu wakilia kwa jirani. Sent using Jamii Forums mobile app
kilosaboy JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 205 Reaction score 280 Aug 23, 2018 #2 So mfanyeje? Sent using Jamii Forums mobile app