Ni kweli samaki wa baharini husababisha ugumba?

Ni kweli samaki wa baharini husababisha ugumba?

kunze

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Posts
398
Reaction score
469
Tafadhali sana,wanaofahamu kuhusiana na suala hili, hebu watujuze.

Sisi wakazi wa mikoa sambamba na bahari kila siku supu ya kibua na chapati, kumbe watoto tutawasikia tu wakilia kwa jirani.

IMG_20180823_095800.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom