Ni kweli Samatta anatoka na Lulu?

Ni kweli Samatta anatoka na Lulu?

Mkuu umemsahau Kanumba kilichompata?Komba na kuna jsmaa mmoja tajiri wa madini akiishi Mbezi Beach nao wanamjua vizuri Lulu.
wapo wapi hao wanaomjua vizuri Lulu tukawaulize!!?./
 
wakuu kuna habari kuwa naodha wa taifa stars anayecheza Genk-Beligium anatoka na mwigizaji Elizaberth Michel. lulu., habari hizo zimeibuliwa na mtu wa karibu na lulu hapa tegeta je nikweli na kama ni kweli 255 si kiwango chake kitaporomoka maana bongo movie ni nuksi. eti wakuu ni kweli wapo wote
So???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo atapotea huyo Lulu anakigundu flani hv mbna bongo kuna warembo wengi tu
 
Back
Top Bottom