Wapo waliokufa ghafla mkuu?
Hebu tupashe...
Wanaelekea Kibiti.wanatoka Dar wanaenda Dar
sent from motorola bapa and nokia jeneza
Mkuu umemsahau Kanumba kilichompata?Komba na kuna jsmaa mmoja tajiri wa madini akiishi Mbezi Beach nao wanamjua vizuri Lulu.
wapo wapi hao wanaomjua vizuri Lulu tukawaulize!!?./Mkuu umemsahau Kanumba kilichompata?Komba na kuna jsmaa mmoja tajiri wa madini akiishi Mbezi Beach nao wanamjua vizuri Lulu.
Hao wengine amna kituBongo lulu wapo Wengi: -
1.Lulu Michael Elizabeth
2.Amber Lulu
3.Lulu Diva.
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna Anti Lulu piaBongo lulu wapo Wengi: -
1.Lulu Michael Elizabeth
2.Amber Lulu
3.Lulu Diva.
Sent using Jamii Forums mobile app
So???wakuu kuna habari kuwa naodha wa taifa stars anayecheza Genk-Beligium anatoka na mwigizaji Elizaberth Michel. lulu., habari hizo zimeibuliwa na mtu wa karibu na lulu hapa tegeta je nikweli na kama ni kweli 255 si kiwango chake kitaporomoka maana bongo movie ni nuksi. eti wakuu ni kweli wapo wote
umeniwahi....bye bye samatta...kama ni kweli.Kama ni kweli Rip samatta
huh..au pengine wanaelekea gongo la mboto[emoji3]Wanaelekea Kibiti.
Taarifa haina ukweli hii