Hapana mkuu! Tatizo si sera za ccm zinazofanya viongozi wake wafeli,tatizo ni wanaccm wenyewd na misingi aliyoacha Mwl Nyerere! Kama CCM hawana sera kwanini watanzania hawajafanya mabadiliko kupitia kura hadi leo ingawa mara kadhaa wamejitokeza watu makini kugombea kupitia vyama vingine? Mwl Nyerere aliachia madaraka kwa mtindo kama wa kuzira hivi(sipendi sana kusema hivi) pale alipoona maono yake hayato timia! Alipaswa kuendeleza mapambano ya fikra zake kwa kuacha mfumo bora(ikiwemo katiba nzuri).tulianza kuokoteza sera na miongozo ya kibepari kuanzia pale alipostaafu! CCM ikiwa ni moja ya majanga mazito kwa kuachiwa mustakbari wa taifa hili bila na kuwa mfumo mbadala ulio bora! Tunatokaje kuanzia hapa naogopa kusema nikaitwa mhaini!Jamani kama ramani ya nyumba imekosewa haijalishi mjenzi ana ujuzi gani na haijalishi kama mtu anaisifia kwa kiasi gani ukweli ni kuwa nyumba ikijengwa choo na jiko vitakuwa vimeingiliana na mlango wa chumba kikuu ukawa unatokea uwani! Sera ni ramani ya nini tunataka hivyo haziwezi kupuuziwa hata kidogo. Bila sera ni kuwa taifa linaenda bila ramani; sasa hata tuweke mabilioni ya shilingi - ndivyo tunavyofanya - ukweli ni kuwa ramani imeshakosewa!
Si kwamba hatutaweza kujenga ukuta tutaweza, siyo kwamba tutashindwa kuweka sehemu za madirisha tutaweza lakini kukamilisha nyumba haitakamilisha. Mnaweza mkaamua kubadili mjenzi na mshauri mjenzi lakini kama huyo mshauri hatataka kuangalia ramani ya nyumba atawalia fedha zenu tu!
Tunachokiona sasa siyo kushindwa kwa watu - kama baadhi ya watu wanataka tuamini - ni kushindwa kwa sera! Ni mara ngapi wamebadilisha watu lakini mambo yamekuwa ni yale yale? Wizara ya Afya imewahi kuwa na madaktari, wasomi wengine n.k lakini matokeo yake yamekuw ani yale yale. Wizar aya Elimu imewahi kushikwa na maprofesa lakini kiko wapi sasa?
Hapana mkuu! Tatizo si sera za ccm zinazofanya viongozi wake wafeli,tatizo ni wanaccm wenyewd na misingi aliyoacha Mwl Nyerere! Kama CCM hawana sera kwanini watanzania hawajafanya mabadiliko kupitia kura hadi leo ingawa mara kadhaa wamejitokeza watu makini kugombea kupitia vyama vingine? Mwl Nyerere aliachia madaraka kwa mtindo kama wa kuzira hivi(sipendi sana kusema hivi) pale alipoona maono yake hayato timia! Alipaswa kuendeleza mapambano ya fikra zake kwa kuacha mfumo bora(ikiwemo katiba nzuri).tulianza kuokoteza sera na miongozo ya kibepari kuanzia pale alipostaafu! CCM ikiwa ni moja ya majanga mazito kwa kuachiwa mustakbari wa taifa hili bila na kuwa mfumo mbadala ulio bora! Tunatokaje kuanzia hapa naogopa kusema nikaitwa mhaini!
M
Mkuu MMJ Tatizo la Tz Sio sera... Tatizo ni ujasiri wa kusema embe ni embe na Sio tunda lenye ikakasi.. Tatizo la Tz ni kutokusimamia mapato ya madini, rasilimali zingine Kama utalii, gas na hata vyanzo vingine...tumekadhania Kuwabana wananchi na kutembeza bakuli na kuacha rasilimali Zetu zikiibiwa.. Sasa tutatekeleza VIPi sera bila pesa?
Hapana mkuu! Tatizo si sera za ccm zinazofanya viongozi wake wafeli,tatizo ni wanaccm wenyewd na misingi aliyoacha Mwl Nyerere! Kama CCM hawana sera kwanini watanzania hawajafanya mabadiliko kupitia kura hadi leo ingawa mara kadhaa wamejitokeza watu makini kugombea kupitia vyama vingine? Mwl Nyerere aliachia madaraka kwa mtindo kama wa kuzira hivi(sipendi sana kusema hivi) pale alipoona maono yake hayato timia! Alipaswa kuendeleza mapambano ya fikra zake kwa kuacha mfumo bora(ikiwemo katiba nzuri).tulianza kuokoteza sera na miongozo ya kibepari kuanzia pale alipostaafu! CCM ikiwa ni moja ya majanga mazito kwa kuachiwa mustakbari wa taifa hili bila na kuwa mfumo mbadala ulio bora! Tunatokaje kuanzia hapa naogopa kusema nikaitwa mhaini!
M
Amelalamikia "lack of expertise" so bado hawataki kukubali kuwa tatizo ni sera, rather wanadhani sera zinakwamishwa na utekelezaji, this time mkulo anadai tatizo ni wataalam.Mkulo ananukuliwa hapa kuthibitisha my assertion kuwa sera za CCM zimefeli! Hata wao wenyewe wanajua kuwa zimefeli!
DailyNews Online Edition - Mining policies for immediate review
...Tatizo sio sera, bali utekelezaji wake. Hatuna watu wa kutosha wenye moyo wa kujituma, kujitoa, na kujinyima kwa ajili ya vizazi vijavyo na nchi yao.SERA ZA CCM NI JANGA KUU LA TAIFA?
...Tatizo sio wataalamu. Hawa tunao wa-export nchi za nje wanaenda fanya nini? kucheza ngoma?. Nakubaliana na wale wanaoona kuwa tatizo lipo kwenye uongozi, tena wa ngazi zote chini kabisa hadi juu. We need a practical, focused, determined and decisive leadership at all levels.Amelalamikia "lack of expertise" so bado hawataki kukubali kuwa tatizo ni sera, rather wanadhani sera zinakwamishwa na utekelezaji, this time mkulo anadai tatizo ni wataalam. Hadi sasa kwenye mjadala huu kuna wanaosema tatizo ni sera na wengine ni utekelezaji, kwenye utekelezaji, kuna migawanyiko, wengine wanasema ni viongozi, na sasa viongozi wanasema ni wataalam, so mpira bado wanatupiana tu, na as long as they can count something coming in, ie wanavyojiongezea posho nk, nothing will change. Swali lako kwaujumla litachochea mjadala mrefu sana hapa, hopefully the positive one. Let me wait and see, shida ni kwamba hawawezi kukubali kuwa sera ndo zimeshindwa, hence theory yangu kuwa wataendelea kulaumiana kisiasa na kubadlishana vijiti kuwa "somewhat valid."
...Hapana! Mfumo mzuri ndio hutekeleza sera, not the other way around. By the way, you can go borrow lots of policies from friends and localize them, to suit your needs.Huwezi kuwa na mfumo mzuri wa utawala kama sera ni mbovu; kwani mfumo wa utawala unakuwa preceded na sera nzuri zinazotekelezeka. Huwezi kujenga mfumo bila sera! Mfumo wa wakati wa Ujamaa uliwezekana kwa sababu ulikuwa unaendana na sera za kijamaa!
...Mjenzi akiwa ni mjuzi wa fani yake atagundua na kudokeza dosari au kurekebisha kosa katika ramani. Hatokubali kuharibu kazi yake!Jamani kama ramani ya nyumba imekosewa haijalishi mjenzi ana ujuzi gani.
...Tunao madereva waliofuzu vizuri kabisa chuo cha usafirishaji, lakini wanaendesha magari kihuni kabisa mjini, achilia mbali kuvunja sheria za barabarani.Wizara ya Elimu imewahi kushikwa na maprofesa lakini kiko wapi sasa?
Kamuulize Mkulo hayo maswali, ama hukunielewa?...Tatizo sio wataalamu. Hawa tunao wa-export nchi za nje wanaenda fanya nini? kucheza ngoma?. .
...Sijakuuliza wewe. Nime-respond kwenye hoja ya Mkullo. Sawa sawa?Kamuulize Mkulo hayo maswali, ama hukunielewa?
Siyo sawa swa, kama ulirespond kwenye hoja ya mkulo mbona ulinquote?...Sijakuuliza wewe. Nime-respond kwenye hoja ya Mkullo. Sawa sawa?
...Hapana! Mfumo mzuri ndio hutekeleza sera, not the other way around. By the way, you can go borrow lots of policies from friends and localize them, to suit your needs.
...Mjenzi akiwa ni mjuzi wa fani yake atagundua na kudokeza dosari au kurekebisha kosa katika ramani. Hatokubali kuharibu kazi yake! ...Tunao madereva waliofuzu vizuri kabisa chuo cha usafirishaji, lakini wanaendesha magari kihuni kabisa mjini, achilia mbali kuvunja sheria za barabarani.
...Tatizo sio wataalamu. Hawa tunao wa-export nchi za nje wanaenda fanya nini? kucheza ngoma?. Nakubaliana na wale wanaoona kuwa tatizo lipo kwenye uongozi, tena wa ngazi zote chini kabisa hadi juu. We need a practical, focused, determined and decisive leadership at all levels.