Ni Kweli Sera za CCM zimekuwa ni janga kuu la taifa? Tunavuna tunachopanda...?

Ni Kweli Sera za CCM zimekuwa ni janga kuu la taifa? Tunavuna tunachopanda...?

Ni serikali hii hii wakati matatizo ya kiuchumi yalipoanza ilikuja na dudu mojaa linaitwa "stimulus package" ya kufufua kilimo. From "somewhere" wakaingiza dola bilioni 1 kwenye kilimo. Sasa ungetarajia kuwa kilimo chetu kingekuwa katika hali nzuri kweli...
...MJJ, unataka kusema hilo "dudu" ni sera? na ililenga kufufua kilimo? Really?

...Watu wanafahamu what stimulus package means, and that means, just that! kilichotokea wanafahamu wenyewe, ndio maana mpaka leo majibu hamna.

...Unatarajia vipi kilimo kuwa katika hali nzuri? Kwanza, hela hiyo ilitolewa kwa wakulima au wanunuzi wa mazao yapi? pamba na maua ndio kilimo pekee hapa nchini. Je, kama mvua haikunyesha, hizo billioni 1 zingetosha kumwagilia hayo mazao? Pili, utekelezaji wake ulisimamiwa na nani? kuona kwamba lengo linafikiwa.
 
Unataka kusema kuwa uamuzi wa kutoa hiyo stimulus package ulikuja bila kutekeleza sera yoyote? Yaani watu wachache walijamulia kutoa shilingi trilioni 1.6 bila kuwa na sera ambayo walikuwa wanatekeleza?
 
Mnazungumzia ubaya wa policies per se au the execution of those policies?
 
Mwanakijiji, Wanaosema kuwa tatizo sio sera, tatizo ni utekelezaji wanasahau kitu kimoja tu. Tanzania ni nchi ya amani kwa miaka 50 sasa na chama kimoja cha siasa kimekuwepo madarakani. Hivyo kwa ngazi za juu wapangaji na watekelezaji wa sera ni wale wale.
...Mbona umeshajibu swali tayari. Anayepanga akiitekeleza inakuwa vizuri zaidi, kwani, anafahamu nini anachokifanya. Swali ni je, hizo sera zimetekelezwa kwa kiasi gani?
Upangaji na utekelezaji wa sera sio sayansi. Hivyo sera za mwanzo mara nyingi zitakuwa na matatizo kwa sababu hakuna knowledge base, na uzoefu wa kufanyia execution. Lakini siku zinavyokwenda ni lazima kuwe na perfection.
...Upangaji na utekelezaji wa sera sio sayansi?. Au una maanisha sio "rocket science" ?

...Wapi ambapo kunakuwa hakuna knowledge base na uzoefu wa utekelezaji? Ninavyofahamu, kama mmeamua kuboresha let say, elimu ya msingi, kwa kuongeza walimu wenye ujuzi na sifa, kuweka vitabu zaidi, kuongeza idadi ya wakaguzi na ratiba za ukaguzi, n.k suala la knowledge base na uzoefu wa utekelezaji sio issue. I mean, these are basics.

...Kuongeza mfano mwingine. Hivi kurudisha sera ya elimu ya bure ya msingi au sekondari, inahitaji knowledge base ipi?

...Labda niseme, tatizo kuu la utekelezaji wa sera ni resources za kutekelezea, both human and financial. Unaweza ukawa too ambitious na hivyo mafanikio yakawa madogo.
Toka tumepata uhuru Tanzania imekuwa na sera. Na katika Afrika, Tanzania ni moja ya nchi chache ambazo zimekuwa na sera bila kuwa na interruptions. Hivyo katika kipindi cha sasa, kushindwa utekelezaji sio kizingizio.
...Jibu jingine. Kwahiyo umetambua kuwa kushindwa utekelezaji ndio kupo. Kwa maana hiyo hatujasimamia vizuri utekelezaji wa hizo sera, na hivyo tumeshindwa katika hilo na si kutokuwa na sera.
Nasema sio kisingizio kwa sababu katika kipindi cha sasa cha matatizo ya uchumi duniani tunaona nchi mbalimbali zinavyotatua matatizo yao. Nchi kama Greece wamejenga utamaduni wa kutatua matatizo kiujanjaujanja. Na nchi kama Ujerumani wanatatua matatizo yao kwa nidhamu.
...Tukiondoa ujanja ujanja sera zitatekelezeka. Kama nimekupata vizuri.
Historia inaonyesha kuwa Tanzania inafuata trajectory ya Greece ya kutatua matatizo kiujanjaujanja na kufukia matatizo.
...Kwahiyo tatizo ni utekelezaji, sio sera.
 
Unataka kusema kuwa uamuzi wa kutoa hiyo stimulus package ulikuja bila kutekeleza sera yoyote? Yaani watu wachache walijamulia kutoa shilingi trilioni 1.6 bila kuwa na sera ambayo walikuwa wanatekeleza?
...Mkuu umekuja huku? Sikukutegemea kwa leo!

...Honestly, sijui. Ufahamu wangu wa kawaida unaniambia hiyo ilikuwa hatua ya dharura, sidhani kama ipo kwenye sera yeyote ya kilimo. Labda ilitumika sera fulani ya fedha na uchumi.
 
Mnazungumzia ubaya wa policies per se au the execution of those policies?
...MJJ ana hoja kwamba sera [as in policies] zetu si nzuri au ni mbaya, ndio maana tunakwama.

...I disagree. Issue niionayo mimi ni utekelezaji.
 
...Mkuu umekuja huku? Sikukutegemea kwa leo!

...Honestly, sijui. Ufahamu wangu wa kawaida unaniambia hiyo ilikuwa hatua ya dharura, sidhani kama ipo kwenye sera yeyote ya kilimo. Labda ilitumika sera fulani ya fedha na uchumi.

Inawezekana basi kuwa kushindwa kwa 'stimulus package' kunatokana na kutokuwepo kwa sera basi? Na kama ilikuwepo labda ni sera isiyotekelezeka?
 
...MJJ ana hoja kwamba sera [as in policies] zetu si nzuri au ni mbaya, ndio maana tunakwama.

...I disagree. Issue niionayo mimi ni utekelezaji.

Labda yawezekana ni sera zisizotekelezeka? Haiwezekani karibu sera zote zishindwe kufanya vizuri halafu tusiziangalie; kama elimu ina matatizo hatuwezi kulalamikia walimu tu na wizara yawezekana labda ni sera mbovu ambazo haziwezi kutekelezeka!
 
Inawezekana basi kuwa kushindwa kwa 'stimulus package' kunatokana na kutokuwepo kwa sera basi? Na kama ilikuwepo labda ni sera isiyotekelezeka?
...Teh teh teh! Acha uhuni!

...Unapotupa kopo la Bud barabani, ina maana hamna trash bin?
 
Labda yawezekana ni sera zisizotekelezeka? Haiwezekani karibu sera zote zishindwe kufanya vizuri halafu tusiziangalie; kama elimu ina matatizo hatuwezi kulalamikia walimu tu na wizara yawezekana labda ni sera mbovu ambazo haziwezi kutekelezeka!

Unafikiri malalamiko ni kwasababu sera haikutekelezwa? Nay

Malalamiko (mahitaji) yanakuwa kadiri unavyotekeleza jambo moja lingine linatokea..

Ndio maana maisha lazima yaendelee..(mahitaji lazima yaendelee ..malalamiko lazima yawepo..

Waingereza wanalalamika treni zao zinaenda kwa kasi ndogo ukilinganisha na za ufaransa..

Naona ndivyo maisha yalivyo..sera zinabadilika, kukua na malalamiko yanabadilika na kukua..
 
...Teh teh teh! Acha uhuni!

...Unapotupa kopo la Bud barabani, ina maana hamna trash bin?

kwanini wazoa taka wameacha trash bin ijae na kufurika na kufanya eneo zima lionekane ndio shimo la taka? Mtu akitupa taka penye takataka analaumiwa?
 
Labda yawezekana ni sera zisizotekelezeka? Haiwezekani karibu sera zote zishindwe kufanya vizuri halafu tusiziangalie; kama elimu ina matatizo hatuwezi kulalamikia walimu tu na wizara yawezekana labda ni sera mbovu ambazo haziwezi kutekelezeka!
...What do you need to put enough basic books in schools? A golden policy?. Whats a substandard classroom got to do with a policy which can not be implemented?
 
...MJJ ana hoja kwamba sera [as in policies] zetu si nzuri au ni mbaya, ndio maana tunakwama.

...I disagree. Issue niionayo mimi ni utekelezaji.
Kutokana na uhaba wa fedha na human resources nadhani sera zetu hazitekelezeki.
Kibaya zaidi, viongozi wanatathmini mbaya na vipaumbele vibaya. Hata sera za vyama vya upinzani zote hazitekelezeki.
 
kwanini wazoa taka wameacha trash bin ijae na kufurika na kufanya eneo zima lionekane ndio shimo la taka? Mtu akitupa taka penye takataka analaumiwa?
...Kwahiyo sera ya usafi haitekelezeki? Au watekelezaji ndio wameshindwa na wasimamizi wanawaangalia bila kuchukua hatua?
 
...Kwahiyo sera ya usafi haitekelezeki? Au watekelezaji ndio wameshindwa na wasimamizi wanawaangalia bila kuchukua hatua?

Hapana! sera ya ukusanyaji taka ndio imefeli na haitekelezeki. Kama sera inasema tutakusanya taka kwa kutumia magari ya kisasa, kuanzia muda fulani na kuzitupa kwenye eneo fulani halafu magari hayo hakuna, na mahali pa kutupia taka hakuna tatizo siyo utekelezaji tena bali ni sera yenyewe! Utaweza vipi kukusanya taka kwa kutamani? Tunaposema sera ni mbovu ni pamoja na malengo yake na njia inazopendekeza kufikiwa.

Kwa mfano, kuna watu wamekusudia kabisa - angalia Mpango wao wa Maendeleo wa miaka 5- kuwa wanataka kubadilisha Tanzania kuwa taifa la viwanda! Well, kwa wengine wanafikiri inawezekana wakati mtu kama mimi naona kuna tatizo la msingi kabisa katika sera ya namna hiyo!
 
Ukisoma ripoti ya CAG na madokezo ya ripoti za tume za bunge haiwezekani kufikia hitimisho jingine nje ya hili!
 
Back
Top Bottom