DAR si LAMU
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 2,928
- 561
...MJJ, unataka kusema hilo "dudu" ni sera? na ililenga kufufua kilimo? Really?Ni serikali hii hii wakati matatizo ya kiuchumi yalipoanza ilikuja na dudu mojaa linaitwa "stimulus package" ya kufufua kilimo. From "somewhere" wakaingiza dola bilioni 1 kwenye kilimo. Sasa ungetarajia kuwa kilimo chetu kingekuwa katika hali nzuri kweli...
...MJJ, unataka kusema hilo "dudu" ni sera? na ililenga kufufua kilimo? Really?
...Watu wanafahamu what stimulus package means, and that means, just that! kilichotokea wanafahamu wenyewe, ndio maana mpaka leo majibu hamna.
...Unatarajia vipi kilimo kuwa katika hali nzuri? Kwanza, hela hiyo ilitolewa kwa wakulima au wanunuzi wa mazao yapi? pamba na maua ndio kilimo pekee hapa nchini. Je, kama mvua haikunyesha, hizo billioni 1 zingetosha kumwagilia hayo mazao? Pili, utekelezaji wake ulisimamiwa na nani? kuona kwamba lengo linafikiwa.
...Mbona umeshajibu swali tayari. Anayepanga akiitekeleza inakuwa vizuri zaidi, kwani, anafahamu nini anachokifanya. Swali ni je, hizo sera zimetekelezwa kwa kiasi gani?Mwanakijiji, Wanaosema kuwa tatizo sio sera, tatizo ni utekelezaji wanasahau kitu kimoja tu. Tanzania ni nchi ya amani kwa miaka 50 sasa na chama kimoja cha siasa kimekuwepo madarakani. Hivyo kwa ngazi za juu wapangaji na watekelezaji wa sera ni wale wale.
...Upangaji na utekelezaji wa sera sio sayansi?. Au una maanisha sio "rocket science" ?Upangaji na utekelezaji wa sera sio sayansi. Hivyo sera za mwanzo mara nyingi zitakuwa na matatizo kwa sababu hakuna knowledge base, na uzoefu wa kufanyia execution. Lakini siku zinavyokwenda ni lazima kuwe na perfection.
...Jibu jingine. Kwahiyo umetambua kuwa kushindwa utekelezaji ndio kupo. Kwa maana hiyo hatujasimamia vizuri utekelezaji wa hizo sera, na hivyo tumeshindwa katika hilo na si kutokuwa na sera.Toka tumepata uhuru Tanzania imekuwa na sera. Na katika Afrika, Tanzania ni moja ya nchi chache ambazo zimekuwa na sera bila kuwa na interruptions. Hivyo katika kipindi cha sasa, kushindwa utekelezaji sio kizingizio.
...Tukiondoa ujanja ujanja sera zitatekelezeka. Kama nimekupata vizuri.Nasema sio kisingizio kwa sababu katika kipindi cha sasa cha matatizo ya uchumi duniani tunaona nchi mbalimbali zinavyotatua matatizo yao. Nchi kama Greece wamejenga utamaduni wa kutatua matatizo kiujanjaujanja. Na nchi kama Ujerumani wanatatua matatizo yao kwa nidhamu.
...Kwahiyo tatizo ni utekelezaji, sio sera.Historia inaonyesha kuwa Tanzania inafuata trajectory ya Greece ya kutatua matatizo kiujanjaujanja na kufukia matatizo.
...Mkuu umekuja huku? Sikukutegemea kwa leo!Unataka kusema kuwa uamuzi wa kutoa hiyo stimulus package ulikuja bila kutekeleza sera yoyote? Yaani watu wachache walijamulia kutoa shilingi trilioni 1.6 bila kuwa na sera ambayo walikuwa wanatekeleza?
...MJJ ana hoja kwamba sera [as in policies] zetu si nzuri au ni mbaya, ndio maana tunakwama.Mnazungumzia ubaya wa policies per se au the execution of those policies?
...Mkuu umekuja huku? Sikukutegemea kwa leo!
...Honestly, sijui. Ufahamu wangu wa kawaida unaniambia hiyo ilikuwa hatua ya dharura, sidhani kama ipo kwenye sera yeyote ya kilimo. Labda ilitumika sera fulani ya fedha na uchumi.
...MJJ ana hoja kwamba sera [as in policies] zetu si nzuri au ni mbaya, ndio maana tunakwama.
...I disagree. Issue niionayo mimi ni utekelezaji.
...Teh teh teh! Acha uhuni!Inawezekana basi kuwa kushindwa kwa 'stimulus package' kunatokana na kutokuwepo kwa sera basi? Na kama ilikuwepo labda ni sera isiyotekelezeka?
Labda yawezekana ni sera zisizotekelezeka? Haiwezekani karibu sera zote zishindwe kufanya vizuri halafu tusiziangalie; kama elimu ina matatizo hatuwezi kulalamikia walimu tu na wizara yawezekana labda ni sera mbovu ambazo haziwezi kutekelezeka!
...Teh teh teh! Acha uhuni!
...Unapotupa kopo la Bud barabani, ina maana hamna trash bin?
...What do you need to put enough basic books in schools? A golden policy?. Whats a substandard classroom got to do with a policy which can not be implemented?Labda yawezekana ni sera zisizotekelezeka? Haiwezekani karibu sera zote zishindwe kufanya vizuri halafu tusiziangalie; kama elimu ina matatizo hatuwezi kulalamikia walimu tu na wizara yawezekana labda ni sera mbovu ambazo haziwezi kutekelezeka!
Kutokana na uhaba wa fedha na human resources nadhani sera zetu hazitekelezeki....MJJ ana hoja kwamba sera [as in policies] zetu si nzuri au ni mbaya, ndio maana tunakwama.
...I disagree. Issue niionayo mimi ni utekelezaji.
...Kwahiyo sera ya usafi haitekelezeki? Au watekelezaji ndio wameshindwa na wasimamizi wanawaangalia bila kuchukua hatua?kwanini wazoa taka wameacha trash bin ijae na kufurika na kufanya eneo zima lionekane ndio shimo la taka? Mtu akitupa taka penye takataka analaumiwa?
...I will add lack of proper oversight to the mix.Kutokana na uhaba wa fedha na human resources nadhani sera zetu hazitekelezeki. .
...Kwahiyo sera ya usafi haitekelezeki? Au watekelezaji ndio wameshindwa na wasimamizi wanawaangalia bila kuchukua hatua?