Best home tutor
Senior Member
- May 8, 2026
- 194
- 268
Sijawahi kuamini kwamba makonda anastahili hata kuwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa. Jamaa ni mpumbavu. Swali rio amekuja kama mgeni wa wizara Gani? Kwann wazir amuendeshe raiya? Who is hero is makonda?Kwanza kabisa mimi sioni umuhimu wa mstaafu wa soka kuja nchini kwetu nakumpaisha hivyo halafu kwenye account zake haoneshi yupo Tanzania licha ya kupewa air time za kutosha.
Pia nimesikia hawa watu wakija serikali ni protocol tu lakini gharama haitoi serikali sijajua anatoa nani? Mtu mweyewe anayekuja nchini au nani .
Naomba mwenye kufahamu gharama za safari ,sehemu anazotembelea ,malazi nk anapata wapi na amepewa mwaliko sio kama kama tour guider