Ni kweli simba imetengeneza kinywaji simba cola au magumashi?

Ni kweli simba imetengeneza kinywaji simba cola au magumashi?

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Heeeeee ya kweli haya wandugu? naona logo ya Metl kama kweli basi kila la heri, i like it, nitazinywa sana

heeeee.jpg
 
Sasa mlitaka kula pesa ya mhindi bila kuliwa, Kila siku ajitolee yeye tu wakati nanyi mnavyo vyakutoa!! Iyo inaitwa mla naye uliwa.
Magodoro yamelowekwa maji , leo mtalala wapi?
 
Kama kweli hii basi aliyeshauri hili hana akili.
Biashara inahitaji Watu wote haihitaji mashabiki wa Simba tu kwasababu Wanaoipenda Utopolo hawatonunua hizi.
 
Sasa mlitaka kula pesa ya mhindi bila kuliwa, Kila siku ajitolee yeye tu wakati nanyi mnavyo vyakutoa!! Iyo inaitwa mla naye uliwa.
Alisikika rais mstaafu wa Tanzania akiyasema haya
 
Simba kama timu inanufaika vipi??
 
Hii ni chanzo kingine cha mapato, Muwekezaji ameona njia nzuri ya kukuza kipato na kujitegemea... hii njia ina tumika na wazungu pale unapo enda omba msaada basi una enda na kitu... yani una uza bidhaa ili zikuletee pesa...

na hapa hakika simba imepata watu wa bunifu katka biashara kuifanya nembo ya simba ilete pesa na simba iweze kukua...

hongera simba, hongera metl
 
Simba si imefika robo fainali Kwa pesa ya mwekezaji si ndio kunufaika kwenyewe maana gharama za kufikia pale hazipungui milioni 300.
Milioni ngapi kufika pale ?
Kama hivyo hata Uto wangefika.
 
Kama kweli hii basi aliyeshauri hili hana akili.
Biashara inahitaji Watu wote haihitaji mashabiki wa Simba tu kwasababu Wanaoipenda Utopolo hawatonunua hizi.
kule yanga wenye akili wapo wawili tu kikwete na sunday manara, yale magodoro kumbe wanalalia utopolo pekee yao??? azam cola kumbe wanakunywa azam pekee??

kizuri utakinywa hata kwa siri
 
Kama kweli hii basi aliyeshauri hili hana akili.
Biashara inahitaji Watu wote haihitaji mashabiki wa Simba tu kwasababu Wanaoipenda Utopolo hawatonunua hizi.
kuna sehemu una shida na akili yako...
 
Kwani lazma wanunue wao?.
washabiki wa yanga wala hawa tumii bidhaa za mo sababu ni simba, wala wa simba hawa tumii bidhaa za ghalib sababu ni yanga... na mashabiki wa azam ni wachache sana hivyo azam products zina pata hasara sana ni vile bakharesa hasemi tu...
 
Ukinywa hiyo soda unakuwa zezeta kama mashabiki wa makolo
 
kule yanga wenye akili wapo wawili tu kikwete na sunday manara, yale magodoro kumbe wanalalia utopolo pekee yao??? azam cola kumbe wanakunywa azam pekee??

kizuri utakinywa hata kwa siri

AzamCola haina uhusiano wowote na Azam FC
Magodoro ya GSM hayajawahi kutokea nembo ya Utopolo
Lakini Simba Cola zimewekwa nembo ya Simba SC.

Jua tofauti
 
Back
Top Bottom