Drat
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,160
- 1,359
Watanunua tu hapo sio wengi, lakini kama wa Simba wakiamua kunywa hii inatosha kabisa kuwapa faida kubwaKama kweli hii basi aliyeshauri hili hana akili.
Biashara inahitaji Watu wote haihitaji mashabiki wa Simba tu kwasababu Wanaoipenda Utopolo hawatonunua hizi.