Ni kweli simba imetengeneza kinywaji simba cola au magumashi?

Kama kweli hii basi aliyeshauri hili hana akili.
Biashara inahitaji Watu wote haihitaji mashabiki wa Simba tu kwasababu Wanaoipenda Utopolo hawatonunua hizi.
Watanunua tu hapo sio wengi, lakini kama wa Simba wakiamua kunywa hii inatosha kabisa kuwapa faida kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…