Hichi nimesha kisema kama kuna watu hawata muelewa mo na watatafuta kila la kusema ili nia ya mo isifanikiwe.Mwanafalsalfa, Albert Einstein alishawahi kunena.. "If you can't explain to a six-year-old, you don't understand it yourself".
Sasa kama Mo anashindwa kutuelewesha lengo lake ni nini hasa.. Ina maana hata mwenyewe hajui anachotaka kukifanya.
Akili matope hizi.. Eti simba inatoka mkononi mwa maskin hebu niambie faida waliyokua wanapata hao maskin. Kama mlitegemea kuishi kwa kutumia mgongo wa club tafuteni kazi zingineNitalia na simba had I kesho naona simba inatoka kwa masikini wa kitanzania walioifikisha hapa kwa raha na shida na kuipeleka kwa matajiri ambao hata mpira hawajui
Mkuu hao masikini wa simba sasa wanatoka ktk umaskini tena wanatoka ktk umaskini kwa mgogo wa simba.Nitalia na simba had I kesho naona simba inatoka kwa masikini wa kitanzania walioifikisha hapa kwa raha na shida na kuipeleka kwa matajiri ambao hata mpira hawajui
Akili tatu umekosea hesabu zako na kufanya mada yako pumba tupu.Itakuwa ni kituko cha karne kuamini timu yenye wanachama hai zaidi ya 5000 na mashabiki wa kutosha zaidi ya milioni 10 ,yenye mali nyingi za kutosha (pamoja na kwamba hazithaminiki) yenye historia ya Soka la Tz kwa naman ya kipekee leo hii eti inathaminishwa na dau dogo kiasi hiki?
Hivi viongozi wa simba waliopoa na waliopita wameshindwa kuifanya simba kutengeneza bilioni 20 zao kwa kuitumia LOGO ya klabu hiyo vizuri kibiashara?
Hivi ni kweli simba imeshindwa au inashindwa kujua thamnai yake miongoni mwa mashabiki wa soka afrika? ni nani asiyejua kuwa Simba ni moja ya timu zinazokubalika sana katika ukanda huu wa afrika mashariki? nenda Uganda,Kenya hata Burundi kote huko utakuta simba inamashabiki wengi tu,usisahau falme za uarabuni,ulaya na marekani.
Je Simba imeshindwa kabisa kabisa hata kuuza peni na pipi tu zenye nembo ya kbalu hiyo ili waitengeneze hiyo bilioni 20 ya Mo dewji ndani ya msimu mmoja?
Ni kweli kabisa kabisa Simba yenye jengo lenye thamani ya bilioni 2 hadi tano katikati ya mji leo hii inahitaji uwekezaji wa bilioni 20 tena uwekezaji wa kudumu?
Simba wameshindwa kuitumia hata NSSF na mashirika mengine ya fedha kuingia nao mkataba wa miaka walau 10 ya ukarabati wa jengo lao au uwanja wao hata uzungushiwe mabati tu ?
Simba ni kweli kabisa kabisa mnadiriki kushupalia Mo ainunue klabu hiyo moja kwa moja? hivi mnajua athari zake huko mbeleni?
Moja ya athari ni pamoja na timu kuaj kuuzwa kwa watu wasio na mapenzi na klabu hiyo matokeo yake ni kuishuhudia timu ikitua mikonni mwa wachache wasiokuwa na uwezo wa kuiendesha au wasio jali muda wa kuiangalia matokeo yake timu ni kuyumba na kufa kabisa.
Simba kama kuna kosa ambalo mtalifanya ni kukubali Mo Dewji aichukue simba hii iliyotaabani kisha na kuipa dawa ya kutuliza ugonjwa madala ya kuipa dawa ya kuiponya ,binafsi yangu naamini kabisa ipo siku MO ataiuza simba ,na mtu atakaye nunua atainunua kwa daiu dogo ,kitu ambacho kitasababisha timu kushikiliwa na watu HEWA.
Viongozi wa simba ni vema mkatafakari,Bilioni 20 za Mo dewji zisiwababaishe hiyo ni pesa ndogo sana kulingana na thamani halisi ya klabu ya Simba,hiyo pesa haitoshi hata kuifanya klabu ijiendeshe yenyewe kwa miaka mitano.
Simba ya mashabiki milioni 10 na wanachaam 5000 haiihitaji mtu kama Mo kuja kuwekeza tupesa tudogo kiasi hiko,hiyo pesa Simba wakiamua kuipata wanaipata kiurahisi sana kwa kutumia watu walioelemika na wabunifu wa masuala hayo.
Simba iamue sasa,timu kama Newcastle,astoni vill ana nyingine nyingi zinatamani kuwa ufalme wao katika nchi kama tanzania
Sasa Hiyo Simba na umasikini wake unakusaidia nini wewe, acheni ichukuliwe nunueni hisa na hata ikiwezekana muifanye public kabisa na hata tusio wanachama tununue hisa kwa sababu za kibiasharaNitalia na simba had I kesho naona simba inatoka kwa masikini wa kitanzania walioifikisha hapa kwa raha na shida na kuipeleka kwa matajiri ambao hata mpira hawajui
Mkuu haya nimesema huku nyuma kuwa kunawatu wataanzisha viji maneno ili kukwamisha hii nia ya mo.Akili tatu umekosea hesabu zako na kufanya mada yako pumba tupu.
Hizo Billion 20 unazosema ni kidogo ni kwa ajili ya 51% ya club,hiyo 49% ya wanachama kwa hyo thamani ya simba itakua around Billion 39.
Halafu kwani vipi?kama unamjua mtu mwenye dau zaidi ya hilo au wewe unayo mseme ili sisi tunaoitakia klabu yetu mema tuuze timu iendeshwe kitaalamu sio kijadi.
kitu ambacho mnapawa kukielewa wakuu,Simba hii ya sasa ,Jina lake tu kibiashara linathamani ya hiyo pesa,twende mbele turudi nyuma wanachama wa simba na mashabiki wa simba wengi wenu mnapelekeshwa na kivuli cha utajiri wa Mo Dewji,sawa sikatai kuingia katika mfumo huo,lakini iwe kwa thamani halisi ya klabu,Simba ni mgodi unaotemea uliotelekezwa umekosa wachimbaji wa kuchimba madini yaliyopo,narudia tena Logo pekee ya simba ikitumika vizuri kwa mwaka inaingiza zaidi ya hizo pesa,tamasha la Simba day likiandaliwa vizuri linaweza kuingiza si chini ya 2 bilioni kwa kila mwaka,bado ada za wanachama ,vitega uchumi ikiwemo majengo yale mawili yote kwa thamani huenda yakaifka zaidi ya bilion za pesa ,Simba inautajiri ambao umeshindwa kuinuifaisha yenyewe,leo hii ukisema uje kwenye upande wa hizo hisa kulingana na thamani ya simba pengine hisa moja ya simba ingeweza kuuzwa si chini ya tsh 10000 kwa kila hisa.
Sawa anainunua kwa mtindo wa hisa je ni sahihi yeye kujipangia bei? hapa ndio panadhihirisha kuwa Simba na wanasimba wake NI SAWA na ule usemi wa penye udhia penyeza rupia?
Kwa nini Simba wasingepanga bei wao wenyewe,au wakatangaza kuuza hisa kisha hao matajiri wakajitokeza kununua?
Mwisho wa siku Simba itabaki kuwa ni ya wanasimba ,kama ni hivyo je siku ikitokea Mo akaamua kuuza hisa zake zote kwa tajiri mwingine ambaye haifahamu Simba na hana mapenzi ya kweli na Simba unadhani kuna ambacho kitafanyika?
ame focus mbali,simba tayari ina fanbase kubwa sana,hivyo kibiashara haitampa shida sana...pia ni Chama lakeMo anaweza kuwa na malengo mazuri na simba na mipango yake ni mizuri kabisa.... Ila napata wasiwasi mkubwa kwa nini Anatumia nguvu kubwa kuimiliki simba?!!!....
Hata Mzee bakhresa ni mwanachama hai Wa simba mpaka sasa na aliwahi kufanya hivyo anavyotaka kufanya MO kabla ya kuianzisha AZAM FC... Baada ya kubaniwa na wanachama Wa simba hakung'ang'ania.. Hapo ndipo ninapopata HOFU kwanini MO anaforce?? Kwanini asianzishe timu yake kama alivyofanya bilionea mwenzake Mzee Said B.ame focus mbali,simba tayari ina fanbase kubwa sana,hivyo kibiashara haitampa shida sana...pia ni Chama lake
Kwenye Biashara kuna kitu kinaitwa Cost and Benefit analysis, Inawezekana kuanzisha Timu nyingine kama alivyofanya Mzee Said B ni gharama kubwa na haitoleta Faida kwa siku za Usoni.Simba iko na jina na ni brand kubwa na uwekezaji utareta matunda Mapema.Hata Mzee bakhresa ni mwanachama hai Wa simba mpaka sasa na aliwahi kufanya hivyo anavyotaka kufanya MO kabla ya kuianzisha AZAM FC... Baada ya kubaniwa na wanachama Wa simba hakung'ang'ania.. Hapo ndipo ninapopata HOFU kwanini MO anaforce?? Kwanini asianzishe timu yake kama alivyofanya bilionea mwenzake Mzee Said B.
kuna kipindi madrid ilikuwa inachukua makombe lakini ilikuwa na hali mbaya kipesa mpaka uefa ilikuwa inataka kuifungia mpaka alipokuja rais wa sasa akaamua kuuza kiwanja cha mazoezi na kuirudisha timu yake katika hali nzuri,ac milan imechukua mataji mengi ulaya ni yapili kwa madrid angalia thamani yake wakianza kupanga thamani za timu ulaya inaelekea ujue chochote kuhusu namna gani wanathaminisha vilabu jaribu hata kugoogle utaelewaHata hiyo 20 b ni nyingi sana thanani ya timu inapatikana kwa timu kuchukuwa makombe bila kuchukuwa makombe timu haina thani.
Angalia leo hii timu zipi zinathamani ktk bora huko ulaya kwa na zipi hazipa thamani.
Miakaya 70 mpaka thamani timu kama man u ilikuwa haina thamani kwakuwa ilikuwa haichukuwi makombe leo man u ndio timu yenye thamani kubwa.
Acheni mo atengeneze timu ya ushindi na ya kisasa muhim ni mikataba imara na mizuri tu kwa maslahi ya klabu.
Hii sio dunia tena ya mpira wa kutegemea wachawi na kuhonga.
FisadiKuu unachotakiwa kujua ni kuwa pamoja na mafaniko hayo unayosema lakini ni vema tukaangalia aina ya uwekezaji wa MO,Binagsi nilibahatika kuhuduria ile Press yani unaona kabisa kuna kitu huyu jamaa anakitafuta kupitia nia yake ya kuwekeza na hiyo pesa,pia hiyo pesa jamani ni NDOGO kulinganisha na klabu ya simba,bilioni 20 ni pesa halali inayotosha kuinunua klabu kama Mbeya City,Toto Afrika na NK,simba inahadhi sawa na kina Enyimba huko,Tp Mazembe huko leo hii useme eti unaiuza kwa mtindo wa hisa kwa thamani ya bilioni 20?Sasa nyie mnaojifanya mna mapenzi ya dhati na Simba huu ni mwaka wa ngapi hamjapata Ubingwa wala kushiriki michuano ya kimataifa?? Mmesaidia nini nyie wenye mapenzi kindakindaki
okay nimekusoma vyema...kwahyo wewe unahisi kuna nn labda mzee mwenzangu?Hata Mzee bakhresa ni mwanachama hai Wa simba mpaka sasa na aliwahi kufanya hivyo anavyotaka kufanya MO kabla ya kuianzisha AZAM FC... Baada ya kubaniwa na wanachama Wa simba hakung'ang'ania.. Hapo ndipo ninapopata HOFU kwanini MO anaforce?? Kwanini asianzishe timu yake kama alivyofanya bilionea mwenzake Mzee Said B.
povu jiingi kumbe tatizo uelewa tuItakuwa ni kituko cha karne kuamini timu yenye wanachama hai zaidi ya 5000 na mashabiki wa kutosha zaidi ya milioni 10 ,yenye mali nyingi za kutosha (pamoja na kwamba hazithaminiki) yenye historia ya Soka la Tz kwa naman ya kipekee leo hii eti inathaminishwa na dau dogo kiasi hiki?
Hivi viongozi wa simba waliopoa na waliopita wameshindwa kuifanya simba kutengeneza bilioni 20 zao kwa kuitumia LOGO ya klabu hiyo vizuri kibiashara?
Hivi ni kweli simba imeshindwa au inashindwa kujua thamnai yake miongoni mwa mashabiki wa soka afrika? ni nani asiyejua kuwa Simba ni moja ya timu zinazokubalika sana katika ukanda huu wa afrika mashariki? nenda Uganda,Kenya hata Burundi kote huko utakuta simba inamashabiki wengi tu,usisahau falme za uarabuni,ulaya na marekani.
Je Simba imeshindwa kabisa kabisa hata kuuza peni na pipi tu zenye nembo ya kbalu hiyo ili waitengeneze hiyo bilioni 20 ya Mo dewji ndani ya msimu mmoja?
Ni kweli kabisa kabisa Simba yenye jengo lenye thamani ya bilioni 2 hadi tano katikati ya mji leo hii inahitaji uwekezaji wa bilioni 20 tena uwekezaji wa kudumu?
Simba wameshindwa kuitumia hata NSSF na mashirika mengine ya fedha kuingia nao mkataba wa miaka walau 10 ya ukarabati wa jengo lao au uwanja wao hata uzungushiwe mabati tu ?
Simba ni kweli kabisa kabisa mnadiriki kushupalia Mo ainunue klabu hiyo moja kwa moja? hivi mnajua athari zake huko mbeleni?
Moja ya athari ni pamoja na timu kuaj kuuzwa kwa watu wasio na mapenzi na klabu hiyo matokeo yake ni kuishuhudia timu ikitua mikonni mwa wachache wasiokuwa na uwezo wa kuiendesha au wasio jali muda wa kuiangalia matokeo yake timu ni kuyumba na kufa kabisa.
Simba kama kuna kosa ambalo mtalifanya ni kukubali Mo Dewji aichukue simba hii iliyotaabani kisha na kuipa dawa ya kutuliza ugonjwa madala ya kuipa dawa ya kuiponya ,binafsi yangu naamini kabisa ipo siku MO ataiuza simba ,na mtu atakaye nunua atainunua kwa daiu dogo ,kitu ambacho kitasababisha timu kushikiliwa na watu HEWA.
Viongozi wa simba ni vema mkatafakari,Bilioni 20 za Mo dewji zisiwababaishe hiyo ni pesa ndogo sana kulingana na thamani halisi ya klabu ya Simba,hiyo pesa haitoshi hata kuifanya klabu ijiendeshe yenyewe kwa miaka mitano.
Simba ya mashabiki milioni 10 na wanachaam 5000 haiihitaji mtu kama Mo kuja kuwekeza tupesa tudogo kiasi hiko,hiyo pesa Simba wakiamua kuipata wanaipata kiurahisi sana kwa kutumia watu walioelemika na wabunifu wa masuala hayo.
Simba iamue sasa,timu kama Newcastle,astoni vill ana nyingine nyingi zinatamani kuwa ufalme wao katika nchi kama tanzania
Kama hujitambui basi utakuwa umepigwa jiwe la utosini.Itakuwa ni kituko cha karne kuamini timu yenye wanachama hai zaidi ya 5000 na mashabiki wa kutosha zaidi ya milioni 10 ,yenye mali nyingi za kutosha (pamoja na kwamba hazithaminiki) yenye historia ya Soka la Tz kwa naman ya kipekee leo hii eti inathaminishwa na dau dogo kiasi hiki?