GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kaka, pole sanaNa kumbukeni Simba SC ikifanikiwa tu Kuwafunga Gap litabaki la Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na kwa Mkakati wa Dharula wa Kimafia ambao nimeusikia unapangwa mahala upo Uwezekano mkubwa wana Yanga SC wanaojiamini kuwa tayari Wameshakuwa Mabingwa kutokana na Matokeo mabaya ya Simba SC wakashikwa na butwaa na wasiamini nini kimetokea.
Najua huenda huu Uzi wangu baadae ukaja Kukimbiliwa na Watu kwa Kitakachotokea na Maono yangu ninayoyaona.
Genius kama Wewe ulikuwa ukawa Shabiki wa Yanga SC?Kaka, pole sana
Nakuunga mkono asilimia zote. Hakuna mechi ngumu kwa Yanga kama mechi ya tarehe 20 kutokana na hali ya Simba kwa sasa ambayo wanayanga wengi inawapumbaza na kuwafanya wajihamini kupita kiasi.Na kumbukeni Simba SC ikifanikiwa tu Kuwafunga katika Derby ijayo Pengo ( Gap ) litabaki la Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na kwa Mkakati wa Dharula wa Kimafia ambao nimeusikia unapangwa mahala upo Uwezekano mkubwa wana Yanga SC wanaojiamini kuwa tayari Wameshakuwa Mabingwa kutokana na Matokeo mabaya ya Simba SC wakashikwa na butwaa na wasiamini nini kimetokea.
Najua huenda huu Uzi wangu baadae ukaja Kukimbiliwa na Watu kwa Kitakachotokea na Maono yangu ninayoyaona.
Kule Simba mashabiki, msemaji hadi kocha huwa wanaweza wakasajili, wakapanga vikosi na hata kuamua matokeo.Na kumbukeni Simba SC ikifanikiwa tu Kuwafunga katika Derby ijayo Pengo ( Gap ) litabaki la Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na kwa Mkakati wa Dharula wa Kimafia ambao nimeusikia unapangwa mahala upo Uwezekano mkubwa wana Yanga SC wanaojiamini kuwa tayari Wameshakuwa Mabingwa kutokana na Matokeo mabaya ya Simba SC wakashikwa na butwaa na wasiamini nini kimetokea.
Najua huenda huu Uzi wangu baadae ukaja Kukimbiliwa na Watu kwa Kitakachotokea na Maono yangu ninayoyaona.
mm ni YANGA lkn umeongea ukweli!mechi za derby zina maajabu yakeNa kumbukeni Simba SC ikifanikiwa tu Kuwafunga katika Derby ijayo Pengo ( Gap ) litabaki la Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na kwa Mkakati wa Dharula wa Kimafia ambao nimeusikia unapangwa mahala upo Uwezekano mkubwa wana Yanga SC wanaojiamini kuwa tayari Wameshakuwa Mabingwa kutokana na Matokeo mabaya ya Simba SC wakashikwa na butwaa na wasiamini nini kimetokea.
Najua huenda huu Uzi wangu baadae ukaja Kukimbiliwa na Watu kwa Kitakachotokea na Maono yangu ninayoyaona.
Unadhani ninavyoambiwa Mimi 'Genius' wasemao hivyo wanakosea?Umefungua uzi wa Kuwasifia Simba derby ijayo
Jana ulifungua Uzi wa kuwasifia Yanga Derby ijayo
Ili matokeo yoyote yatakayotokea Uzi wako wowote utakimbiliwa kati ya hizo
Kweli unajua kucheza kama peĺe
NG'OMBE NI MAMA YAKO NA MPUMBAVU PIA NI MAMA YAKO.UMAFIA NI KUSAJILI WACHEZAJI BORA.
HICHO ULICHOKISIKIA NI UPUMBAVU KAMA UPUMBAVU ULIOUANDIKA HAPA JF.
WADANGANYE NG'OMBE WENZIO.
Kolosai 3:8 yaondoeni matusi vinywaji mwenu,NG'OMBE NI MAMA YAKO NA MPUMBAVU PIA NI MAMA YAKO.
yanga haina maneno mengi kwetu sisi ni mpira tuNa kumbukeni Simba SC ikifanikiwa tu Kuwafunga katika Derby ijayo Pengo ( Gap ) litabaki la Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na kwa Mkakati wa Dharula wa Kimafia ambao nimeusikia unapangwa mahala upo Uwezekano mkubwa wana Yanga SC wanaojiamini kuwa tayari Wameshakuwa Mabingwa kutokana na Matokeo mabaya ya Simba SC wakashikwa na butwaa na wasiamini nini kimetokea.
Najua huenda huu Uzi wangu baadae ukaja Kukimbiliwa na Watu kwa Kitakachotokea na Maono yangu ninayoyaona.
Hilo linafahamika na hili ndilo lililotokea kwenye msimu uliopita Simba wakashinda 2 kwa 1 kwani Yanga walijiamini sana kuliko Simba. Wanatakiwa wawe makini katika hili.Nakuunga mkono asilimia zote. Hakuna mechi ngumu kwa Yanga kama mechi ya tarehe 20 kutokana na hali ya Simba kwa sasa ambayo wanayanga wengi inawapumbaza na kuwafanya wajihamini kupita kiasi.
Kama kweli Yanga wanahitaji ubingwa inabidi wajiandae sana mechi ya tarehe 20 na matokeo ya simba yasiwapumbaze.
Tofauti na hapo itakuwa kama mechi ya Azam na Yanga itapoteana na kumaliza patupu msimu huu.
Mpaka dakika hii Kwa mechi zilizochezwa gape ni point 9, lielewe hili vizuri.Na kumbukeni Simba SC ikifanikiwa tu Kuwafunga katika Derby ijayo Pengo ( Gap ) litabaki la Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na kwa Mkakati wa Dharula wa Kimafia ambao nimeusikia unapangwa mahala upo Uwezekano mkubwa wana Yanga SC wanaojiamini kuwa tayari Wameshakuwa Mabingwa kutokana na Matokeo mabaya ya Simba SC wakashikwa na butwaa na wasiamini nini kimetokea.
Najua huenda huu Uzi wangu baadae ukaja Kukimbiliwa na Watu kwa Kitakachotokea na Maono yangu ninayoyaona.