Nmeangalia ofisin kwangu nikauliza kwa jamaa yetu wa manunuzi zile office chair ambazo bado ni nzuri kabisa na comfortable tsh ngap. Akanambia tsh 150,000. Nikajiuliza vile viti vya uwanja wa Taifa kweli kimoja ni tsh 200,000? Aaahh jaman tuwe na aibu.
Yaani hata kama tunataka kupigia humo humo isiwe mpaka watu watushtukie sasa. Tungeongeza 30,000 tu kwa kila kiti bado ingelipa sana tu. Tungepata cha juu.ila hapo tumeongeza mpaka simba nao watashtukia dili.
Ila simba nanyi mlipe bwana achaneni na hasira za namna hiyo.
Kutafuta watu lolote walipo sahau hiyo mkuu!Yaani kiti kimoja kiwe sh. laki nne (400,000?-) na pia adhabu nyingine zitolewe kama ifuatavyo:
-Wale waliovunja viti hivyo watafutwe popote walipo (kwa kupitia video zilizopo) na kufikishwa mahakamani kwa uhalifu.. Hata wakikamatwa 50 tu wanatosha ili wawe mfano kwa wengine
- Simba icheze bila mashabiki kwa karibu mechi 10 mfululizo (ikumbukwe kuwa hii siyo mara ya kwanza kwa wana-Simba kuvunja viti uwanja wa taifa)
- Nahodha wao Jonas mkude naye afungiwe kucheza mpira kwa kipindi kirefu kama miezi sita hivi...Hapa sijui sharia za TFF zinasemaje kwa adhabu ya mchezaji anayemsukuma refa mpaka anadondoka, lakini hilo ni shambulio ambalo linapaswa kuwekewa adhabu kali..
Yaani kiti kimoja kiwe sh. laki nne (400,000?-) na pia adhabu nyingine zitolewe kama ifuatavyo:

Mfano huyo jamaa aliondoka nae aliendanacho nyumbani kwake.wanaitwa wazee wa ning'oe viti ,yaani goli wafungwe wanang'oa viti wakifunga goli pia wanang'oa viti