Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,271
- 2,903
Nmeangalia ofisin kwangu nikauliza kwa jamaa yetu wa manunuzi zile office chair ambazo bado ni nzuri kabisa na comfortable tsh ngap. Akanambia tsh 150,000. Nikajiuliza vile viti vya uwanja wa Taifa kweli kimoja ni tsh 200,000? Aaahh jaman tuwe na aibu.
Yaani hata kama tunataka kupigia humo humo isiwe mpaka watu watushtukie sasa. Tungeongeza 30,000 tu kwa kila kiti bado ingelipa sana tu. Tungepata cha juu.ila hapo tumeongeza mpaka simba nao watashtukia dili.
Ila simba nanyi mlipe bwana achaneni na hasira za namna hiyo.