Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani. Hii na nadharia haina ukweli.Nimesikia mara nyingi watu wakisema kwamba Smart TV zinatumia umeme mwingi, na kama ni kweli, why zitumie umeme mwingi, naomba kupewa elimu, asanten[emoji120]
Ni kama simu ya tochi na SMART Phone. Ipi inakaa na chaji mda mrefuNimesikia mara nyingi watu wakisema kwamba Smart TV zinatumia umeme mwingi, na kama ni kweli, why zitumie umeme mwingi, naomba kupewa elimu, asanten[emoji120]
Yeah kiwango cha umeme kinaongezeka, lakini kidogo bado , unaweza usimalize hata unit moja kwa siku..Nimesikia mara nyingi watu wakisema kwamba Smart TV zinatumia umeme mwingi, na kama ni kweli, why zitumie umeme mwingi, naomba kupewa elimu, asanten[emoji120]
😂Hiyo sio sababu bwana,hiyo Tv ilikuwa unachemka sababu ya vifaa vilivyomo wakati inatengenezwa yani havikuweza kuzuia isichemke ila consumption unakuta iliyokuwa inachemka ilikula umeme kidogoMimi binafsi Kwa uchunguzi nilioufanya niligundua smart tv ya mtumba inatumia umeme mwingi kuliko ya dukani
Nilikuwa nikiwasha smart tv ya mtumba Baada ya muda ukigusa Kwa nyuma Kuna kuwa na joto Kali sana kiuhslisia lile joto ni umeme
Baada ya kununua smart tv ya dukani ukiwasha hata kama kutwa mzima ukigusa Kwa nyuma hakuna joto
Ooh, kumbeYeah kiwango cha umeme kinaongezeka, lakini kidogo bado , unaweza usimalize hata unit moja kwa siku..
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Ok, thanks!Hem fikiria, mfano TV yako inatumia 100W kwa saa na unaiwasha tuseme 8hrs(msaa nane) kwa siku.
Haya tujumlishe na kuzidisha, kugawanya na kutoa;
100W x 8hrs ni sawa na 800Whr za power consumption kwa siku moja, sasa kwa vile units za umeme zinapimwa kwa kilowatt inabidi tugawe kwa 1000 ili iwe kwenye kWhr, kumbuka 1unit ni sawa na 1kWhr, hivyo 800Whr ni sawa na 0.8kWhr au 0.8units.
Hivyo, ukitumia TV yako masaa nane kwa siku, utakuwa umetumia 0.8units(haifiki hata unit moja)
Nimetoa mfano wa TV inayotumia 100W kwa saa, jaribu kuangalia ya kwako ina power consumption kiasi gani. Factors zote zinabaki constant (efficiency ya TV yako iwe 100% kitu ambacho sio)
Nikosolewe chap...
Mimi ya kwangu inatumia mchemsho.Nimesikia mara nyingi watu wakisema kwamba Smart TV zinatumia umeme mwingi, na kama ni kweli, why zitumie umeme mwingi, naomba kupewa elimu, asanten[emoji120]
kiongozi ulitaka itumie supu au?Nimesikia mara nyingi watu wakisema kwamba Smart TV zinatumia umeme mwingi, na kama ni kweli, why zitumie umeme mwingi, naomba kupewa elimu, asanten[emoji120]
Inategemea na ukubwa wake... aidha haitozi 100WNi Hisense dear