Ni kweli smart TV zinatumia Umeme Mwingi?

Ukisema hivo unanikumbusha, hapa nilipo kuna dada mmoja anaishi na mume wake, huyu dada huwa anashinda nyumbani hapo muda wote na Tv yao ya hisense huwa inawaka muda wote kuanzia ule muda anaoamka ( saa 4 asubuhi) hadi usiku saa 4 au 5 ndiyo anazima tv. Sasa kwa hali hiyo umeme hauendi mwingi? Maana mwenye nyumba kashaanza kulalamika na kutuongezea bei ya kuchangia umeme
 
Siwafundishi tena, Ukiteswa na bando, Huo ni uzembe wako, kwa halotel Pata GB2 kwa 3000, Gb3 kwa 4000, GB5 kwa 5000, Gb7 kwa 7000, Gb10 kwa 10000, Gb15 kwa 14,000, Gb20 kwa 19,000, Gb25 kwa 23000 na Gb30 kwa 26000 tu mwezi mzima. 0618370992.
 
Hapo mkuu ume score 100% kwa maelezo kamili. Homework kwake aangalie tv yake Ina watts ngapi Kisha atumie mfano ulioweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…