Ni kweli smatphone zinaua macho?

Sio tu huleta athari kwenye macho Bali mpaka kwenye mishipa ya fahamu

Matumizi ya simu huenda sambamba Na over concentration ya akili so jiandaeni Na mipasuko ya mishipa ya fahamu nyakati zikisogea mkifikia Umri wetu
Ohoooo......kwani we una umri gn?!
 
Ukitaka kuona, siku kichwa kinakuuma anza kuchati utaona maumivu makali kwenye mishipa ya macho kwa ndani na kichwa huongeza maumivu mara mbili zaidi
 
Zaidi ya kuchungulia smartphone kuna vingine vya ziada unachungulia...


Cc: mahondaw

Hakii kwa namna moja ama nyingine zinaua love.. Kuna kipindi kimeo changu kileee kiliharibika almost 2 months nikawa situmii ka smartphone kangu.... sasa ikawa ikifika usiku Ile nikizima tu taa nilikua naumia sana macho kwa ndani nikiwasha siumii... nikizima yanauma haswaaaa.. cm ivopona mpaka waleo sioni hio hali.
 
Mkuu nina tatizo kama hilo linanisumbua sana ... Dawa gani ulitumia ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…