Ni kweli Tanzania ni nchi ya mwisho kiteknolojia nyuma ya Kenya, Rwanda na Uganda? Nini kifanyike?

Ni kweli Tanzania ni nchi ya mwisho kiteknolojia nyuma ya Kenya, Rwanda na Uganda? Nini kifanyike?

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
9,514
Reaction score
23,523
Nimesikitishwa niliposikia kumbe Tanzania ni ya mwisho kiteknolojia nyuma ya
Kenya
Uganda
Rwanda

Nataka kujua hii taarifa inaukweli wowote, na kama ni kweli imekuaje tukabaki nyuma wakati Tunaambia Tech ndio Kila KITU?

Je ni matokeo ya ujamaa?
Je ni hofu za wanasiasa?
Je sisi ni vilaza na wazito kwenye Tech?
Je hatuna koneksheni za kimataifa?

Nini kifanyika?
Ni hilo tu
Mtumishi Matunduizi.
 
Mloganzila imetolewa kuwa hospitali ya chuo kikuu Cha afya Muhimbili na kuwa sehemu ya hospital ya Muhimbili
 
Inauma zaidi kuskia hadi Uganda wametuzidi.... wakati Rais wao anavaa minguo na mibuti mikubwa vile
 
Viongozi waache kuwaza uchaguzi na kutawala, wawe serious na maisha ya watu pamoja na ustawi wake.

Tabia ya kuwaza uchaguzi na kutawala kumefanya vijana kuacha kufikiri na kuwa machawa wa wanasiasa na chama.
CCM kuwaaminisha vijana ajira inatolewa na CCM ukiwa kada na sio vijana kuwa competent kwenye nyanja mbalimbali.
CCM kutoa ajira hovyohovyo kisiasa kwenye taasisi nyeti zinazohitaji vijana competent wenye kujituma na kuleta input za maana kwenye mifumo, hii imeondoa succession plan baadala yake imezuka tabia za uchawa na kila kijana kuwa mwanasiasa au mpambe wa wanasiasa.

Raia yangu kwa wale waliobaki na fikra pana kwenye vyombo vya usalama kuanza mara moja harakati za ndani kuipora nchi iliyotekwa na chama CCM na kurudisha mifumo chini ya taasisi zenye nguvu kwa maslahi mapana yaa Taifa hili na kuacha CCM kama chama cha siasa Tu na kuweka ground sawa kwenye chaguzi ili watu smart waliowekwa mbali waweze kuingia kwenye mifumo.
 
Back
Top Bottom