Viongozi waache kuwaza uchaguzi na kutawala, wawe serious na maisha ya watu pamoja na ustawi wake.
Tabia ya kuwaza uchaguzi na kutawala kumefanya vijana kuacha kufikiri na kuwa machawa wa wanasiasa na chama.
CCM kuwaaminisha vijana ajira inatolewa na CCM ukiwa kada na sio vijana kuwa competent kwenye nyanja mbalimbali.
CCM kutoa ajira hovyohovyo kisiasa kwenye taasisi nyeti zinazohitaji vijana competent wenye kujituma na kuleta input za maana kwenye mifumo, hii imeondoa succession plan baadala yake imezuka tabia za uchawa na kila kijana kuwa mwanasiasa au mpambe wa wanasiasa.
Raia yangu kwa wale waliobaki na fikra pana kwenye vyombo vya usalama kuanza mara moja harakati za ndani kuipora nchi iliyotekwa na chama CCM na kurudisha mifumo chini ya taasisi zenye nguvu kwa maslahi mapana yaa Taifa hili na kuacha CCM kama chama cha siasa Tu na kuweka ground sawa kwenye chaguzi ili watu smart waliowekwa mbali waweze kuingia kwenye mifumo.