Ni kweli tumefungwa lakini kitendo cha kuwazomea wachezaji bandarini hakikubaliki na siyo cha kimichezo

Ni kweli tumefungwa lakini kitendo cha kuwazomea wachezaji bandarini hakikubaliki na siyo cha kimichezo

Masela yamezomewa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Usipate shida sana juu ya hilo. Hiyo ndo tabia ya mashabiki duniani kote. Ukiwafurahisha, watakushangilia, ukiwaboa watakuzomea. Ni njia nzuri ya kufikisha ujumbe. Wahusika wa team kwa maana ya uongozi,benchi la ufundi na wachezaji pia watakua wamepata ujumbe loud and clear; kilichobaki ni wao tu kuufanyia kazi. Jiulize, je ni mara ya kwanza kwa msimu huu simba kufungwa? Kwa nini wazomewe sasa?
"Great power, comes with great responsibilities".
Timu gani mbele inazomea mashabiki kisa kufungwa fainali..?
 
Simba wana mashabiki wenye jazba sana. Ushahidi mzuri viti vya uwanjani(kwa mchina)
 
Walistahili hata kupigwa makofi
Mbumbu.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa mkuu hawako smart kama yanga , na kuchagua kuwa shabiki wa simba ni matumizi mabaya ya Uhuru pamoja na akili.
Mnapenda kujisahau
Kati ya simba na yanga yupi mwanzilishi wa kung'oa Viti pale taifa
 
Wote wapo hatua ya makundi ligi ya mabingwa africa msimu huu.. na hata msinu uliopita na uliopita na uliopita walikuwepo.. kila mwaka wapo sio wa bahatishaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeuliza kuhusu Makombe ya ndani, hizo timu huwa a
zinafanya nini hata fainali tu huwa zinafika?
.
Angalau mngeitaja Wydad na Esperance
 
Hizo timu wakifungwa hawazomei wachezaji wao
Weeee unawajua mashabiki wa Al-ahly achana na hizo Mazembe na Mamelodi za watu binafsi Al-ahly kuna chimbikaga.
.
Hizo timu hazifanyi vizuri makombe ya ndani
 
Wamuulize Hassan Kessy huko Nkana mkifungwa kiboya mashabiki huingia na manati viwanjani.

Acha watu waoneshe hisia zao na nampa pole sana Mo kwa kupoteza pesa zake bure hao vijeba ni bure kabisa.

No fighting spirit! No commitment.

Wenzao wanaahidiwa magodoro tu lakini wanapigana utadhani wameahidiwa wake bikra.
 
Back
Top Bottom