Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Mmh si amekanusha asubuhiwameenda na ndege Zanzibar wamerudi na boti, dah MO kakasirika kweli kweli, na wanaenda Mwanza na basi, hahaha MO kasema hatoi tena pesa zake kifala fala.
Timu gani mbele inazomea mashabiki kisa kufungwa fainali..?Usipate shida sana juu ya hilo. Hiyo ndo tabia ya mashabiki duniani kote. Ukiwafurahisha, watakushangilia, ukiwaboa watakuzomea. Ni njia nzuri ya kufikisha ujumbe. Wahusika wa team kwa maana ya uongozi,benchi la ufundi na wachezaji pia watakua wamepata ujumbe loud and clear; kilichobaki ni wao tu kuufanyia kazi. Jiulize, je ni mara ya kwanza kwa msimu huu simba kufungwa? Kwa nini wazomewe sasa?
"Great power, comes with great responsibilities".
Hata waje Barca au Bayern. Kwa Simbwa hii, wanapigwa.Tuko level moja na TP Mazembe,Mamelod.Al Ahly nk..Manara jinga sana
Kabisa mkuu hawako smart kama yanga , na kuchagua kuwa shabiki wa simba ni matumizi mabaya ya Uhuru pamoja na akili.Simba wana mashabiki wenye jazba sana. Ushahidi mzuri viti vya uwanjani(kwa mchina)
Simba wangeunga juhudi awamu ya 5 wangeshinda mapinduzi bila kupingwaTena yalizomewa Kidogo Mbwa hayo
Yameniboa sana yapo yapo tu uwanjani
Yanajua Kipunga tu na sio kuipambania timu
Huo upuuzi wako peleka UfipaniSimba wangeunga juhudi awamu ya 5 wangeshinda mapinduzi bila kupingwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnapenda kujisahauKabisa mkuu hawako smart kama yanga , na kuchagua kuwa shabiki wa simba ni matumizi mabaya ya Uhuru pamoja na akili.
Kwani hao uliowataja wanashindaga kila kikombe cha nchini kwao?
Nimeuliza kuhusu Makombe ya ndani, hizo timu huwa aWote wapo hatua ya makundi ligi ya mabingwa africa msimu huu.. na hata msinu uliopita na uliopita na uliopita walikuwepo.. kila mwaka wapo sio wa bahatishaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Weeee unawajua mashabiki wa Al-ahly achana na hizo Mazembe na Mamelodi za watu binafsi Al-ahly kuna chimbikaga.Hizo timu wakifungwa hawazomei wachezaji wao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]