DON YRN
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 606
- 1,453
Ni katika kujaribu kuwaza na kufikiria nje ya box na mawazo yangu binafsi.
Mm siyo mtu wa mambo ya mpira sana lakini kwa hii AFCON nilikuwa nipo macho kuifuatilia timu yangu ya Taifa kwa kila hatua.
Kitu nilichokigundua kwa macho na akili na umakini niliokuwa nao kwa namna wachezaji wetu wanavyoonesha low perfomance ni kwamba kuna shida kwenye mambo ya UMRI.
Timu yetu imejaa wachezaji wa UMRI WA MPIRA WA MIGUU UMEWATUPA MKONO. Namaanisha tumejaza wazee kwenye timu ya taifa.
Amini nawaambia, mule kuna ngalangala nyingi zenye miaka 35 na kuendelea ila kutokana na umri wa kwenye makaratasi, zina miaka 29.
Amini nawaambia, hili suala lisipoangaliwa kwa jicho mbadala basi tuyasahau hata mambo ya FIFA.