Ni kweli ukiosha nywele zilizotiwa dawa (relaxers) na Coca-Cola dawa inatoka na nywele zinarudi kuwa natural?

Ni kweli ukiosha nywele zilizotiwa dawa (relaxers) na Coca-Cola dawa inatoka na nywele zinarudi kuwa natural?

Rare Sapphire

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2021
Posts
590
Reaction score
1,648
Wakuu,

cocacola.jpg

Kuna hii taarifa hapa na hata jana tu simesikia, dada kaweka nywele zake dawa akisema akichoka kuwa na nywele hizo zenye dawa basi ataziosha kwa kutumia kinywaji cha Coca-Cola na nyele zake zitarudi kuwa natural kama mwanzo, hii ni kweli?

Maana mimi najua nywele ikiwekwa sawa haiwezi kurudi tena kwenye hali yake ya kawaida.

Kuna wengine wanasema ukiosha nywele zenye dawa na bia, dawa yote inatoka.

Hii imekaaje Wakuu?
 
Back
Top Bottom