Ni kweli umu JF kuna wateja wakutoa 100m+,500m+,1b+,5b+ kununua magari na majumba?

Ni kweli umu JF kuna wateja wakutoa 100m+,500m+,1b+,5b+ kununua magari na majumba?

Tupo, hata ikiwa 750M+ mradi iwe inakidhi vigezo.

Shida ni kuwa vitu vingine vinakuwa elevated rates kiasi inabidi uwe makini sana na hivyo kulazimika kuhoji sana
 
Rais ana ID kina Abdul wana ID kipa PM kina Makamu wa Rais n.k
 
Ukiona mtandao serikali wanang’ang’ana kuufunga jua wapo humu wanasoma hoja na wanachangia
 
Umu mtu anaweza kuja kama mteja kumbe watekaji,takukuru,tra,police wa doria mtandao (sijui ujasir wakukuta na mtu wa jf unapatikanaje)
 
Back
Top Bottom