gyeetitus
Member
- Dec 16, 2016
- 86
- 39
Haya jamani najua wote humu si wanaopenda kwenda club na kunywa mvinyo(pombe) ila wewe unaependa funguka huwa unapenda kwenda club gani mkoa wowote na mvinyo gani hupendelea kutumia, usisahau kusema unapenda kutoka club na nani usiohusika na mambo haya kaa kimya.